Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Waraka wa Baraza la TEC umeanzisha chokochoko za kidini na hii ni hatari sana kwa Taifa letu.

Sababu kubwa ni UNAFIKI na CHUKI zisizo na maana.
Ikumbukwe kuwa hii nchi ni ya watanzabia wote, waislamu, wakristu na wasio na dini, ndugu Zangu haswa baraza la TEC acheni chuki na unafiki.
Chokochoko za kidini zilikuwepo kabla ya waraka. Usiwape sifa wasio stahili.
Amandla...
 
MAPADRI NA VIONGOZI WA KATOLIKI NA WARAKA WENU,TUNAWAOMBA MSIIPASUE NCHI YETU,ONENI SASA TUNAPOELEKEA,JE MMETUMIA HEKIMA ZENU KISAWASAWA ?,TAIFA HILI NI LA WOTE, RUDINI NYUMA KWA AIBU NA MKAE KIMYA,MTAIVUNJA NCHI HII.
 
Kwa hiyo mnakubali kuwa bandari imeenda sasa mnabisha nini? Na jee hasara ni kwa nani kama siyo Watanganyika wote au wewe ni mkojani kama mama Abdul?
Hakuna hasara yoyote ni faida tupu ndio itapatikana hapo Bandarini serikali inatarajia nusu ya Bajeti yake itoke hapo Bandarini
 
Peleka ujinga wako kule. Ulichokiandika ndicho kinacho refer akili zenu. Jenga hoja acha mihemko ya kidini
 
Wao wanaongoza kwa kutandikana bakora misikitini wakigombea umiliki wa misikiti.
Hususan ile ambayo inakuwa na wadhamini wenye pesa kutoka taasisi za kiarabu.
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Muslims naona wanatafuta ugomvi na Christians wasiouweza,kama Geita tu pale ambapo wakristo walisusa kununua nyama zilizochinjwa na Muslims ikapelekea biashara kudoda huu wa DP world ndio mtaweza.
Ifike mahali mkubali tu Tanzania Christians are 85% and nyie mpo tu 15%,kwa vyovyote vile na kwenye kila kitu bado mpo nyuma.
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Waraka wa Baraza la TEC umeanzisha chokochoko za kidini na hii ni hatari sana kwa Taifa letu.

Sababu kubwa ni UNAFIKI na CHUKI zisizo na maana.
Ikumbukwe kuwa hii nchi ni ya watanzabia wote, waislamu, wakristu na wasio na dini, ndugu Zangu haswa baraza la TEC acheni chuki na unafiki.
acheni kuwapakazia TEC kwani ni mara ya kwanza kutoa waraka? Jibuni hoja acheni ujinga
 
Hapa nakubali kabisa kwamba .........kwamba ukiona mtu anaitwa shehe jua kifuatacho ni majini tu ndio wanajua au kuyajulia kuhusu elimu.................wawaachie wakatoliki maana ndio wenye ugomvi nao.........kira siku nasema na nitasema .........kuzaliwa muislam sio dhambi .......dhambi ni kufa katika uislam maana utakuwa umepotea kabisa...............watu wanatetea bandari yeye yuko na dokta silaaa
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Inawezekana kunaukweli niliwahi kusikia Padre mmoja
anapokwenda nchi za nje anabeba madini ya kutosha na akirudi anarudi na Biblia ikiwa imebeba dawa za kutosha kama ni kweli basi ni lazima wapotoshe umma uogope private sector maana itakuwa ni kuscan kwa kwenda mbele.

Hivi kwanini Serikali yangu haijajibu hoja za hawa wachonganishi? Kuna watu wasio imara watawaamini hawa warafi.
Kama habari za kusikia zinatolewa hukumu basi hata sisi tulisikia wewe choko.
 
Mbona hajajibu chochote cha kwenye waraka? Anarukia mengineeee. Hawa wangekaa kimya tu na sio kukubali kutumika. Wanatutia aibu Waislam. Wanahisi wakija DP World Uislam utafaidika. Poor them!
 
Bishop Peter RASHID ABUBAKAR huyo.

Amandla...
Huyu nae na alichoandika hakiendani na majina aliyojipa ya DR. Askofu, mutume.. Matapeli tu wa Injili Hawa, wasitutor relini.. Na vile vile watulie, wanyoshe miguu wanywe uji wa TEC😁😁
 
Back
Top Bottom