Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakwata inawakilisha waislamu wangapi TZBAKWATA ndiyo chaka la kukwepa kodi bandarini.
Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imelishukia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania kutokana na kuwepo ongezeko kubwa la maombi ya misamaha ya kodi. TRA imeiandikia Barua Bakwata baada ya kubaini kuwa kati ya mwaka 2006 na Septemba mwaka huu, Baraza hilo limeingiza magari 82 yenye msahama wa kodi...www.jamiiforums.com
Yaani mkataba huu wa Kimangungo unasema, Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Huu ujinga ubaki CCM na Uarabuni.
Elimu, elimu, elimu
Wote.Bakwata inawakilisha waislamu wangapi TZ
Umeandika lugha gani? Kimatumbi ambacho nilisoma mimi? Ni hivi, hatujafika hapa kwa bahati mbaya. Shida sio waumini wa kiislamu wala wa kikistru. Shida ni rushwa na ufujaji wa mali ya umma wa watu wachache walio na dhamana. Wengine wanatumika kama yale makaratasi ya kufutia uchafu. Mambo yakiwa magumu upande wao, wanakimbilia kwenye dini.Ndio mustahamili tu mutazoea poleni sana
Wote.
Ndiyo taasis rasmi inayowakilisha waislamu wote nchini.
Hayo mengine mtajua wenyewe ila serikali ikitaka kuongea na waislamu itaongea na viongozi wa BAKWATA.Ndio taasisi rasmi kwa mujibu wa nani ???? kwani iliundwa na waislamu ??
Atakuwa huko kakalia fuvuNashindwa kupata picha ya mbunge wangu Musukuma
Maana alishasema kuwa ile V 8 alinunua kwa fedha zake za madini sasa dili la mwarabu likisanuka itabidi wayarudishe magari y mwarabuAtakuwa huko kakalia fuvu
Muislam jinaMnajisumbua hata huo mkataba hata sisi waislamu hatuutaki
Msitimie dini kutugawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ziko taasisi nyingi Za Kiislamu mbali hiyo ya serikali bakwata ?Hayo mengine mtajua wenyewe ila serikali ikitaka kuongea na waislamu itaongea na viongozi wa BAKWATA.