Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Dah bongo inachekesha sana


View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr

IMG-20260906-WA0570.jpg


Bongo nyoso
 
Media uchwara bwana. Ukimsikiliza shekhe ubwabwa hajatumiwa sms na no ya waziri mkuu. Ila anayemtumia vitisho anamtumia no ya waziri mkuu kuonesha yeye ni mtu mkubwa mpaka ana no ya waziri mkuu! No ya waziri mkuu mtu kuwa nayo ni big deal? Huyu na chui wake wa makaratasi kumbe mwepesi tu
 
Back
Top Bottom