Dah bongo inachekesha sana
View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr
View attachment 3664783
Bongo nyoso
Waandishi badala ya kufuatilia habark za maana wanapotezewa muda
Dah bongo inachekesha sana
View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr
View attachment 3664783
Bongo nyoso
Dah bongo inachekesha sana
View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr
View attachment 3664783
Bongo nyoso
Hata Nchimbi aliitwa Yuda 😁 kilichofuata kila mtu anajua
Mbona hajataja usajili wa hiyo namba iliyo mtumia namba za Mwigulu? Ila alikuwa tayari kumtaja mwigulu na namba zake?
Mwigulu watch out.
Dah bongo inachekesha sana
View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr
View attachment 3664783
Bongo nyoso
Nadhani hujui kilichopo nyuma ya pazia wewe. Endelea na shughuli zako zinazokuingizia kipato. Kwenye siasa za CCM sasa hivi, kila kitu kinachosemwa au kufanywa hata kiwe cha kijinga namna gani, kina sababu zake.Media uchwara bwana. Ukimsikiliza shekhe ubwabwa hajatumiwa sms na no ya waziri mkuu. Ila anayemtumia vitisho anamtumia no ya waziri mkuu kuonesha yeye ni mtu mkubwa mpaka ana no ya waziri mkuu! No ya waziri mkuu mtu kuwa nayo ni big deal? Huyu na chui wake wa makaratasi kumbe mwepesi tu
achaga ubishi we kengebudaHapa ndio unahitimisha mitandao imevamiwa na mbulung'weng'we ya vijijini
Miliugaluga huwa inaamini kila kilichochapwa mtandaoni ni kweli
Yenyewe ni minyumbu kama ile inayoliwa na mamba lakini bado inajipeleka
sinema zetuHakika ni za kwetu
inaanzaga hivihivi mara picha zima linakamilika kama kwa nchimbiZamu ya Mwigulu kuliwa nyama, ndio maana siku hizi amekuwa baridi.
hivi mwigulu sio mtu wa usalam? Kwa nini anashindwa kung'amua mchezo huu haraka? Au anachukulia poa tu!Mbona hajataja usajili wa hiyo namba iliyo mtumia namba za Mwigulu? Ila alikuwa tayari kumtaja mwigulu na namba zake?
Mwigulu watch out.
Wewe ndio umegundua mchezo uliopo.Inaanza hiv hiv wanamtuma chawa azungumze jambo halaf pa kiharibika wanamuita muhusika mbaya
Wachofanya ni kuondoa potential candidates wa 2030, kumuwekea mtu njia nyeupe
Hapo haitaji mwandishi siku hzi mtu akiweza kuwa na mic ya wireles simu ama camera photoshop na premeir najipostia vitu tuWaandishi badala ya kufuatilia habark za maana wanapotezewa muda
Anaogopa nini na ana mbwa mwitu na chui weusi!Akashtaki polisi.
hii iko likelly, wamekuja na mbinu mpya kuwabandua mapema wale wote ambao ni potential kuelekea huko, waliwa vichwa mmojamoja na mbulula wa kusindikiza watachukua fomuInaanza hiv hiv wanamtuma chawa azungumze jambo halaf pa kiharibika wanamuita muhusika mbaya
Wachofanya ni kuondoa potential candidates wa 2030, kumuwekea mtu njia nyeupe