King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Maji yamelowana.
Dah bongo inachekesha sana
View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr
View attachment 3664783
Bongo nyoso
ndio tunahoji kwa nini usalama orijino usi react dhidi ya usalama feki? Kwa nini usalma wa kweli uzidiwe nguvu na usalama wa nje?Hujui kuna usalama nje ya usalama wenye meno zaidi ya usalama? Unafikri wanaomshikilia nchimbi ni usalama au Ni usalama nje ya usalama?
Kwa sababu waliudekeza usalama fake na sasa unawanyea mikononindio tunahoji kwa nini usalama orijino usi react dhidi ya usalama feki? Kwa nini usalma wa kweli uzidiwe nguvu na usalama wa nje?
Wote walishakuwa compromised kama taasisi nyingine.ndio tunahoji kwa nini usalama orijino usi react dhidi ya usalama feki? Kwa nini usalma wa kweli uzidiwe nguvu na usalama wa nje?
Kwani Nchimbi, majaliwa si ni tiss? Walifanya Nini?hivi mwigulu sio mtu wa usalam? Kwa nini anashindwa kung'amua mchezo huu haraka? Au anachukulia poa tu!
Dah bongo inachekesha sana
View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr
View attachment 3664783
Bongo nyoso
Nchimbi aliitwa Yuda kumbe siku zake zinahesabiwa hata hii Kuna namna🤨Nadhani hujui kilichopo nyuma ya pazia wewe. Endelea na shughuli zako zinazokuingizia kipato. Kwenye siasa za CCM sasa hivi, kila kitu kinachosemwa au kufanywa hata kiwe cha kijinga namna gani, kina sababu zake.
Sumai aliedai Nchimbi ni yuda alifanywa nini? Ni wazi wanaotakiwa na Bi Msumi ni wale wanaosapoti mauaji ya October 29.Mwigulu, kuondoa utata agiza Mwaipopo akamatwe...
Hiyo nguvu unayo...
Masare yasambukire😄Maji yamelowana.
Na ni Best sana na Mwaipopo sasa...hivi mwigulu sio mtu wa usalam? Kwa nini anashindwa kung'amua mchezo huu haraka? Au anachukulia poa tu!
Umware.Masare yasambukire😄