Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Kazi iendelee.Bongo nyoso
Hata Nchimbi aliitwa Yuda 😁 kilichofuata kila mtu anajuaHapa ndio unahitimisha mitandao imevamiwa na mbulung'weng'we ya vijijini
Miliugaluga huwa inaamini kila kilichochapwa mtandaoni ni kweli
Yenyewe ni minyumbu kama ile inayoliwa na mamba lakini bado inajipeleka
Well said.Sio jambo la kubeza. "Ukiona kifaranga juu ya mti, tambua wazi kimepandishwa" . Mwigulu aanze kuangalia plan B, maana hata ya Nchimbi yalianzaa kwa neno Yuda at the end kila mtu kaona movie kamili.
Kazi ipo huko CCMDah bongo inachekesha sana
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr
View attachment 3664783
Bongo nyoso