Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

Nadhani hujui kilichopo nyuma ya pazia wewe. Endelea na shughuli zako zinazokuingizia kipato. Kwenye siasa za CCM sasa hivi, kila kitu kinachosemwa au kufanywa hata kiwe cha kijinga namna gani, kina sababu zake.
 
Inaanza hiv hiv wanamtuma chawa azungumze jambo halaf pa kiharibika wanamuita muhusika mbaya

Wachofanya ni kuondoa potential candidates wa 2030, kumuwekea mtu njia nyeupe
Wewe ndio umegundua mchezo uliopo.
Yeyote anayeonekana kuvuka mipaka na kufanya vitu ambavyo hajatumwa ili kupata attention kwa wananchi anatupwa nje.
 
Inaanza hiv hiv wanamtuma chawa azungumze jambo halaf pa kiharibika wanamuita muhusika mbaya

Wachofanya ni kuondoa potential candidates wa 2030, kumuwekea mtu njia nyeupe
hii iko likelly, wamekuja na mbinu mpya kuwabandua mapema wale wote ambao ni potential kuelekea huko, waliwa vichwa mmojamoja na mbulula wa kusindikiza watachukua fomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…