Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

Sio jambo la kubeza. "Ukiona kifaranga juu ya mti, tambua wazi kimepandishwa" . Mwigulu aanze kuangalia plan B, maana hata ya Nchimbi yalianzaa kwa neno Yuda at the end kila mtu kaona movie kamili.
Watu kama hawa wakiendeleya kuachwa waendelee kufanya wanaofanya kama taifa tunaenda kuliangamiza. Mwaipopo athibitiwe mapema ili taifa liendelee kuwa wamoja
 
Ule uzi wa Mange wa Mwigulu kulishwa sumu sasa una make sense ,ngoja niongeze kinywaji🍸🥃 ,ukiona hivi mema yapo karibu sana 😁
Hata mimi sasa nasadiki.

Je, ni kweli kuwa tayari Zanzibar imejipanga kimkakati kuitawala Tanganyika kimabavu na kuwanyong'onyeza Viongozi wote wakristo ?

Je suluhisho ni nini ?
 
Watu kama hawa wakiendeleya kuachwa waendelee kufanya wanaofanya kama taifa tunaenda kuliangamiza. Mwaipopo athibitiwe mapema ili taifa liendelee kuwa wamoja
Mwaipopo hatoki na hamumfanyi lolote kama ambavyo Musiba and the likes hakutoka na hamkumfanya chochote hadi mwendazake alipokaushwa kama kibambala(samaki wanaokaushwa kwa moto)
 
Sasa wewe ujiulizi kwanini waziri mkuu sio spika, sio rais mwenyewe, sio IGP, sio CDF hujiulizi tu..hiyo ni nduano imeshaanza kutupwa taratibu mnaanza kuaminishwa - ni + hadi mtakubali kweli na kuanza kumtukana kwa pamoja kama makamu mstaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…