Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
target hapo Mwigulu mkuu,kwanii asitaje wengine amtaje mwiguu tuMedia uchwara bwana. Ukimsikiliza shekhe ubwabwa hajatumiwa sms na no ya waziri mkuu. Ila anayemtumia vitisho anamtumia no ya waziri mkuu kuonesha yeye ni mtu mkubwa mpaka ana no ya waziri mkuu! No ya waziri mkuu mtu kuwa nayo ni big deal? Huyu na chui wake wa makaratasi kumbe mwepesi tu
Duh,mkuu yamekuwa hayoKwahiyo Mzanzibari anatakiwa kwenye uwaziri mkuu pia?
Ila kwenye hili mimi naunga mkono tu maana hawa watanganyika walitusaliti waziwazi October...
Ushirika wa wachawi....
SI kweli kwahiyo mwaipopo Leo Kawa mwongo. Kwenye huo mchongo mwigulu hatakiwiHii si kweli.
Ni mchakato wa watu kuifitinisha serikali.
Serikali iwe macho
Kwahiyo huyo siyo Mwaipopo ni AI?Hii si kweli.
Ni mchakato wa watu kuifitinisha serikali.
Serikali iwe macho
Ametumwa huyo.Mbona hajataja usajili wa hiyo namba iliyo mtumia namba za Mwigulu? Ila alikuwa tayari kumtaja mwigulu na namba zake?
Mwigulu watch out.
Ametumwa huyo...Watu kama hawa wakiendeleya kuachwa waendelee kufanya wanaofanya kama taifa tunaenda kuliangamiza. Mwaipopo athibitiwe mapema ili taifa liendelee kuwa wamoja
Daah huyu jamaa anaongoza kwa kutukanwa humu.achaga ubishi we kengebuda
Unasema ????Shida inaanzia TZ kujiunga na OIC
Ila dogo kobaz. Kila nikisomaga comment zako naangua kicheko cha hataree. Sijui wagalatia na wabara wamekukosea nini😅😅😅Hapa ndio unahitimisha mitandao imevamiwa na mbulung'weng'we ya vijijini
Miliugaluga huwa inaamini kila kilichochapwa mtandaoni ni kweli
Yenyewe ni minyumbu kama ile inayoliwa na mamba lakini bado inajipeleka
kina doto na wenzake wasioutaka urais watapewa, uwaziri mkuu utaenda kanda ya ziwa kupoza joto hukoKwahiyo Mzanzibari anatakiwa kwenye uwaziri mkuu pia?
Ila kwenye hili mimi naunga mkono tu maana hawa watanganyika walitusaliti waziwazi October...
Ushirika wa wachawi....
Hujui kuna usalama nje ya usalama wenye meno zaidi ya usalama? Unafikri wanaomshikilia nchimbi ni usalama au Ni usalama nje ya usalama?hivi mwigulu sio mtu wa usalam? Kwa nini anashindwa kung'amua mchezo huu haraka? Au anachukulia poa tu!