Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Bila shaka utakuwa muajiriwa wa muda mrefu wa hao maboss wanaoshusha kontena mbili kila mwezi umeamua kujipa ukuu hapa jukwaani kwamba wewe ndie boss. Maboss wengi hapo kariakoo ninao wafahamu hawana hulka ya kubwabwaja mitandaoni kujikomba kwa watawala ama kusifia kama hufanyavyo weweBandarini
Kila mwezi nashusha kontena mbili tatu kutokea Canada na USA.
Wewe Pengine ushavaa mitumba ya nguo na viatu nnavookota Canada na kuvileta huko.
Unafikiri mimi Shivji mwenye kujaza watu ujinga?
Ulitaka ajenge Reli ?.Mdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?
Sheikh Mwaipopo? ndio namsikia leo, huyu hapa anatoa povu kisa Udini tu na si hoja.Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Anataka apelekwe Dyubyai kama akina Zembelwa, inshallah atajengewa msikiti na waarabu.,ngoja DP World wamsikie.Shehee ubwabwa ameshiba ubwabwa. Badala ya kujibu vipengele yeye analeta stori za kuunga serikali
Mganga wa Kienyeji.....
Ukistaajabu ya Dr. kasheku utakutana na ya shehe ubwabwa.😂😂😂 sheikh ubwabwa , elimu la 7 . Anaongea nini sasa ?! Kwa prof wa Sheria . Jamani hizi Dini hizi
Wakina Faiza wameugeuza huu mjadala kama vita ya Jihad😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Wewe kwako maprofesa ni wale wa MUM tuu.Hawa wengine wanafundisha ujinga.Qaliosomeshwa na Shivji ndiyo katika walioenda shule za kusomea ujinga.
Ndiyo maana Tanzania inadidimia kwa kuina mtu kama huyo ana maarifa.
Mie nilikuwa nahisi mtu mwenye maana kumbe poyoyo.
Unaoewaje maarifa na mtu asiye na maarifa? Unajazwa ujinga tu.
Weak minds discuss people!Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Smart ni wale wanaokanyaga mafuta ya upako wakiamini kua ndio yatawapa utajiri? Tena wanakanyagana mpaka wengine wanakufa!!If you’re smart then you can’t be a true Muslim . They say
Wewe mabwana zako wazungu mbona kwao umeufyata hulaumu kitu? Au hujui wayafanyayo?Waislamu wanapambania mabwana zao kupewa inchi
Sasa huyo shehe kaingizaje udini hapo? Akitoa shehe maoni yake unasema udini ila wale wa dini nyingine wakitoa maoni yao au wakipinga kitu huwezi kusema udini!Hii nchi shida sana. Issue ya bandari ni nyeti na inamgusa au itamgusa kila mtu. Inashangaza sana mtu anakosa hoja za msingi anakimbilia kwenye kichaka cha udini. Sasa huyo Shehe Mwaipopo ana hoja gani ya maana au mchango wa kulinganisha na Professor Shivji. Akipata nafasi ya kukutana na Mwl. Nyerere aje aulize mchango wa Prof. Shivji. Unauliza Mwalimu wa chuo kikuu mbobezi eti ana mchango gani kwenye nchi hii!! Au anafikiria Profesa ni jina lake.
Hili suala la bandari halina dini ni watanzania wote. Na watanzania wanayo haki ya ya kuambiwa ukweli kuhusiana na uendeshaji wake.