Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Huyo Sheikh ubwabwa Tabulasa aka Empty set ndiyo wa kuweka ligi na Prof Shivji?
 
HATUKATAI UWEKEZAJI TUNAUKATAA MKATABA HATA WAKILIINGIZIA TAIFA BILIONI 50, yaani unamwachia mgeni geti kuu la nyumba yako kufanya lolote analotaka bila kuingiliwa duu kweli unyumbu ni hatari
 
Who the hell is Mwaipopo?
Nchi hii imejaza wajinga kila kona!
 
Huyo sheikh apeleke ujinga wake huko
huyu sio mjinga, bali ni mpumbavu
 
Wewe umechangia nini?,freedom of speech ipo wapi?,hayo ni maoni yake na huna mamlaka ya kuyapiga Nyundo, hoja ijibiwe na hoja iliyo bora sio vitisho, kama hukubaliani na hoja ya professor, njoo na hoja iliyo bora zaidi
POINT
 
Sheikh, je wewe umesoma huo waraka au unatoa tu hate speech za kibaguzi?
Jibu hoja za Shivji badala ya kumnukuu waziri mkuu
 
Sheikh
Kwani mzaalendo na mchangiaji wa nchi ni yule tu anayeunga mkono serikali na sera zake?
 
Huyu tapeli na mganganjaa kama baba yake Abubakar Mwaipopo jambazi aliyesilimishwa na kuwaibia waislam hadi uarabuni. Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Hana alijualo zaidi ya njaa. Huyu anaweza kutoa hata nyumxxx mradi tonge liingie tumboni. Si shehe bali shehena tena la maviiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…