Sheikh Mwaipopo hukujifunza chochote kutoka kwa yaliyomtokea shehe Sharifu Majini?

Sheikh Mwaipopo hukujifunza chochote kutoka kwa yaliyomtokea shehe Sharifu Majini?

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Wewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29.

Wewe shehe Mwaipopo vitisho vyako vinakuweka hatarini zaidi wewe na familia yako kuliko waandamanaji unaowatishia.

Hata kisipowaka 7/7 ,ipo siku kitawaka na utajuta sana kwa nini ulitoa hivyo vitisho.

Soma Sheikh Mwaipopo: Sheikh Sharif Majini alipigwa risasi ya kifua na tumbo BAHATI MBAYA akiwa nyumbani kwake
 
Wewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29.

Wewe shehe Mwaipopo vitisho vyako vinakuweka hatarini zaidi wewe na familia yako kuliko waandamanaji unaowatishia.

Hata kisipowaka 7/7 ,ipo siku kitawaka na utajuta sana kwa nini ulitoa hivyo vitisho.
Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato. Pole kwa maombolezo
 
Hao watu hawana akili timamu ndio maana kiongozi wao wa Imani hakujua kusoma wala kuandika.

1. Mjini aliitetea sana selikali kikamlamba.
2. Polepole aliitetea sana Selikali kikamlamba.

AKILI KWA MKICHWA.
 
Mwaipopo aache siasa ahubiri mikutano yake ya mihadhara kukashifu Wakristo na kuuza mafuta ya miti shamba na mafuta ya mizeituni la sivyo tutakunyoosha hiko kiuno kilichopinda au tukumalizie kabisa.
 
Kwaiyo kwenu Demokrasia mkisikia Askofu Gwajima kaongea Kanisani mambo ya Siasa kuponda watu viongozi kwenu swafiiiiiiiii.

Lkn Shekhe akikemea mapepo yenu ya kuvunja miundombinu yetu Watanzania
tunayojenga kwa kodi zetu na mikopo mikubwa

kuwasii msipoteze maisha yenu kikondoo kondoo 👈 mnamuona Shekhe hafai ✍️
 
Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Kakosea wp kuyakanya Mapepo ya kilokole na mikondooo iliopotea nyinyi mnatakiwa kuonywa kama bado kusikia basi tunajua Kenge mpaka sikio livuje Damu ndio mtasikia njooo tu 7+7.

Baadae mtasema Rais katili ¿¿

Mkionywa mnaziba masikio kazi kwenu kondoo waliopotea 🫎🫎🫎
 
Mwaipopo anayejiita sheikh ni jambazi na tapeli aliyekubuhu kutoka Mabama kule Tabora.Sasa ameanza kumikiki kikundi cha magaidi baada ya kuhongwa mtaji na wahuni wenzake.

Jambazi Shekh tangu lini????

Mijambazi inayotambuliwa zaidi ni viongozi wenu wa kiroho umesau wanavyoshiriki kuuwa Albino ??
Ili kujipatia pesa!!

Je uho sio Ujambazi ???
 
Hao watu hawana akili timamu ndio maana kiongozi wao wa Imani hakujua kusoma wala kuandika.

1. Mjini aliitetea sana selikali kikamlamba.
2. Polepole aliitetea sana Selikali kikamlamba.

AKILI KWA MKICHWA.

Wetu kweli hawakujua kusoma na kuandika lkn wana Ubinadamu mkubwa na utu👈

Viongozi wenu wamesoma kufikia Phd

lkn Wamegeuka Majambazi wa kuuwa mpaka Albino ¿¿¿¿
 
Mwaipopo aache siasa ahubiri mikutano yake ya mihadhara kukashifu Wakristo na kuuza mafuta ya miti shamba na mafuta ya mizeituni la sivyo tutakunyoosha hiko kiuno kilichopinda au tukumalizie kabisa.

Ungeanza kumnyoosha kwanza Askofu Gwajima👈
Kwa kupiga kelele za Siasa Kanisani
 
Back
Top Bottom