Sheikh Mwaipopo hukujifunza chochote kutoka kwa yaliyomtokea shehe Sharifu Majini?

Sheikh Mwaipopo hukujifunza chochote kutoka kwa yaliyomtokea shehe Sharifu Majini?

Shehe huyo kwanza kakiri openly kuwa anamiliki terror squad aliyoiita kikosi cha mbwa mwitu akaenda mbali zaidi kutisha kuwa kikosi chake watatairi watu bila ganzi mambo ambayo yote ulidai anasingiziwa kabla haujaona clip hiyo na ni mazito sana sasa imagine ingekuwa yamesemwa na Lissu angeweza hata kupigwa risasi hadharani.
Migogoro ya Tanzania chanzo kikuu ni Samia kwa kuwa ana tamaa ya mali, ni mbadhilifu na ni mwizi mbobezi anayeuza na kugawa rasilimali za nchi kwa faida yake na mafisadi wenzake.
Ironic unakuja na vistori uchwa mnavyodanganyana navyo kwenye vijiwe vyenu kwani waswazi mmezoea kushinda vibarazani and anyone with functioning brain can tell the level of your thinking capacity.
Maridhiano kafanyeni na vyama vyenu vilivyoshiriki katika uchafuzi wa last year October kwani freedom fighters will never be stopped by stupid threats.

Wakati nyinyi Viongozi wenu wanaiba mlikiwa wapi!!!!!

Mbona HOJA HII MNAKWEPA KUJIBU‼️

Rais Samia Suluhu Hassan kaingia 2021 IKULU ✅️

PATO LA TAIFA KUPITIA TRA LILIKUWA TRILIONI 17 TU✍️

CHINI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KIONGOZI MWENYE UNYENYEKEVU MKUBWA NA MCHA MUNGU👈
LEO TRA WANAKUSANYA
TRILIONI 32+ ✅️

kwa hoja hii tu🖕🖕
Rais Samia Suluhu Hassan ni msafi kama Sufi nyeupe ✍️

Majizi ndio mnamsakama baada kuziba matundu ya Wizi 👈

Kama sio jibuni hoja hii juu apo Trilioni 32👈

Kazi yenu kufanya propaganda tu ili Watanzania wasijue kuwa wapo na Rais mwema zaidi kuwai kutokea Tanzania

Zaidi mpo kidini Chuki zenu za Dini zitagawanya Taifa vipande vipande

Kila Rais akiwa Muislamu Chuki zenu zimekuwa kama Mimba lazima zijitokeze mbele✍️

Mwaka huu izo mimba mtazaaa tu 2030 sio kinyume chake✍️
 
Back
Top Bottom