M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Unamuonya vipi mtu anapotekeleza vyema yale uliyomtuma.Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Unamuonya vipi mtu anapotekeleza vyema yale uliyomtuma.Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Wewe bisha kwa kutumia kiuno halafu utamjua zaidi huyo sheikh kunna wako!Jambazi Shekh tangu lini????
Mijambazi inayotambuliwa zaidi ni viongozi wenu wa kiroho umesau wanavyoshiriki kuuwa Albino ??
Ili kujipatia pesa!!
Je uho sio Ujambazi ???
Gwaji boy hajawahi kuuambia umma ana terror squad na atawatahiri raia bila ya ganzi.Ungeanza kumnyoosha kwanza Askofu Gwajima👈
Kwa kupiga kelele za Siasa Kanisani
Hawezi kukamatwa kwa sababu hicho kikundi ni cha Abduli
Jasus unajua kazi za Jasusi ??Gwaji boy hajawahi kuuambia umma ana terror squad na atawatahiri raia bila ya ganzi.
Nasikitika kuutangazia umma kuwa uwezo wako kichwani ni mdogo sana!Kwani Askofu Gwajima alikamatwa alipochanganya Siasa Kanisani kwake¿¿
bado mnaota kwenye mfumo Kikristo 💩💩💩 hakinya Shekhe ndio mnasikia harufu sio🫎🫎🫎
Viongozi wenu kutwa wanatoa Matamko lkn mmepiga kimyaaa🫎🫎🫎
Cheza na ngoma kabisa 👈Nasikitika kuutangazia umma kuwa uwezo wako kichwani ni mdogo sana!
Na wewe tuondolee upumbavu wako hapa.Kwani Askofu Gwajima alikamatwa alipochanganya Siasa Kanisani kwake¿¿
bado mnaota kwenye mfumo Kikristo 💩💩💩 hakinya Shekhe ndio mnasikia harufu sio🫎🫎🫎
Viongozi wenu kutwa wanatoa Matamko lkn mmepiga kimyaaa🫎🫎🫎
Wewe bisha kwa kutumia kiuno halafu utamjua zaidi huyo sheikh kunna wako!
baada ya kukosa hoja 👈Na wewe tuondolee upumbavu wako hapa.
Wanataka kumfanya Kama Shehe Sharifi MajiniCha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Huna hoja una utopolo tu kichwani mwako.baada ya kukosa hoja 👈
Wewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29.
Wewe shehe Mwaipopo vitisho vyako vinakuweka hatarini zaidi wewe na familia yako kuliko waandamanaji unaowatishia.
Hata kisipowaka 7/7 ,ipo siku kitawaka na utajuta sana kwa nini ulitoa hivyo vitisho.
Uko Chato?Aliyempiga risasi shehe majini ni nani?
Gwajima hajawahi kutishia kuua watuKwaiyo kwenu Demokrasia mkisikia Askofu Gwajima kaongea Kanisani mambo ya Siasa kuponda watu viongozi kweni swafiiiiiiiii.
Lkn Shekhe akikemea mapepo yenu ya kuvunja miundombinu yetu Watanzania
tunayojenga kwa kodi zetu na mikopo mikubwa
kuwasii msipoteze maisha yenu kikondoo kondoo 👈 mnamuona Shekhe hafai ✍️
Viongozi "wenu" wepi hao?Hebu wataje.Weka Ushahidi wacha maneno Mtoto wa kiume 👈
Viongozi wenu wanauwa Albino unataka Ushahidi niweke???
Gwaji boy hajawahi kuuambia umma ana terror squad na atawatahiri raia bila ya ganzi.