hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
So wana muonyaje wakati wapo behind the scene!?Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
So wana muonyaje wakati wapo behind the scene!?Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Muislam hawezi kukamatwa hata achinje watu hadharani. Matamko mengi ya vitisho vya kuua watu wameyatoa tena kwa kuita press kabisa ila hayajawahi hata kukemewa zaidi wanakemewa wale wanaojaribu kutetea haki za wananchi.Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Weka ww kwanza Ushahidi wa Shekhe uko Kigoma??Viongozi "wenu" wepi hao?Hebu wataje.
Gwajima hajawahi kutishia kuua watu
Kuokoa watu na vitu vilivyopo kwenye hatari hasa ya magaidi.Kazi za Jasusi unazijua!!
Aliyempiga risasi shehe majini ni nani?
Wale majasusi wa Mossad mnao wasifiaga kutekeleza mission kule Iranian 👈Kuokoa watu na vitu vilivyopo kwenye hatari hasa ya magaidi.
Tupe elimu ya huyo shekhe Elimu ya dunia amesoma wapi?Kwaiyo kwenu Demokrasia mkisikia Askofu Gwajima kaongea Kanisani mambo ya Siasa kuponda watu viongozi kweni swafiiiiiiiii.
Lkn Shekhe akikemea mapepo yenu ya kuvunja miundombinu yetu Watanzania
tunayojenga kwa kodi zetu na mikopo mikubwa
kuwasii msipoteze maisha yenu kikondoo kondoo 👈 mnamuona Shekhe hafai ✍️
Hizi hoja za kutunga. Hazina ukweli. Kila ukweli unaposemwa, mnaanza uzushi na uongo na hila. Kuna shida lkubwa sana juu ya mnachoamni.
Haiwezekani hata yanayowadhuru wenyewe zaidi hamyaoni, mnaangalia dini ya mtu anayesema. Kwenye hii dunia ya leo maskini wengi, wanaopenda kutesana na kuuana, tena wakati mwingine ni dini moja, kina nani?
Tanzania itasonga mbele na lazima ikae sawa...tupende tusipende. Ila sio kwa kutumia watu wenye akili ndogo na wajinga, kama hawa naowaona kila siku wanakoroma mitandaoni.
Ngoma za watoto huwa hazikeshi....na wa mbili havai moja. Kupiga kelele sana sio ndio kuwa jasiri na mwenye uwezo...uswahilini tunaamini debe tupu huwa haliachi kutika
Majeshi yenyewe yalishachokaWewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29.
Wewe shehe Mwaipopo vitisho vyako vinakuweka hatarini zaidi wewe na familia yako kuliko waandamanaji unaowatishia.
Hata kisipowaka 7/7 ,ipo siku kitawaka na utajuta sana kwa nini ulitoa hivyo vitisho.
View attachment 3614835
Tufanye basic hii👆🏾 ni AI na maelezo yote yakum-criticise ni chuki binafsi.
Kama back in the day Kikwete alimtumia kuwasakama, kuwatisha na kuwa-harass akina Dr Ulimboka basi hata sasa yote ayafanyayo ya backup ya huyo Mkwere JK.Janjaweed, Boko Haram, sijui ISIS...hata Alqaeda. Yote yalianzishwa kwa namna hii hii. Ya kujifanya wanalinda au kutetea haki.
Kumbe wauaji na wachinjaji. Wanajipa majibu rahisi kwamba wanafanya kazi ya Mungu. Mungu gani anawatuma kuua watu wasio na hatia?
Hapa Tanzania, tuna vyombo imara vya ulinzi na usalama. Hana hata kidogo uhalali wa kuchukua jukumu ambalo sio la kwake kwa ujanja ujanja na ubabaishaji.
Dola zina namna zinalindwa...mkitumia watu kama hawa dola lazima zitaanguka. Na tumeshaanza kuona. Inaonekana kama tunanuka kinyesi kila tunakokwenda hawatutaki.
Na bado...tusipotaka kubadilika, kama tuna machozi, tutajililia wenyewe. majuto mjukuu
Mjane wa Ngosha una maumivu. Pole!Wewe utakuwa ulikuwa kimada wa JPM akakupiga kibuti.....sio kwa hasira hizi dhidi ya mjane, dah!
Mjane wa Marehemu shetani lenu la Chato. Kama nakuona vile unavyotesekaNgosha alikutia goli ngapi
View attachment 3614835
Tufanye basic hii👆🏾 ni AI na maelezo yote yakum-criticise ni chuki binafsi.
Imuonye vipi wakati inanufaika na kazi yake?Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Shehe huyo kwanza kakiri openly kuwa anamiliki terror squad aliyoiita kikosi cha mbwa mwitu akaenda mbali zaidi kutisha kuwa kikosi chake watatairi watu bila ganzi mambo ambayo yote ulidai anasingiziwa kabla haujaona clip hiyo na ni mazito sana sasa imagine ingekuwa yamesemwa na Lissu angeweza hata kupigwa risasi hadharani.Ujumbe safiiii kabisa Mungu Am'bariki Shekhe mwaipopo kwa kuwaasa vijana wasidanganyike kuingia kwenye mission wasio ijua malengo yake👈
Pale Iranian Marekani wameusika kugawa silaha kwa baadhi ya Waandamanaji 👈
wakiwa na lengo
Waandamanaji wenye Silaha wanatakiwa kuwauwa Waandamanaji wenzao
watu Wazima vijana na Watoto!!!!¿¿¿
Eti ili kuchochea hasira zaidi miongoni mwa Wananchi
Mana Wananchi watadhani ni Police ndio wauwaji 👈
Leo Kila mtu anajua Chadema wanashirikiana na Marekani na Ulaya kuchagiza Migogoro Tanzania lengo kutupora Rasilimali zetu tu👈
Mwisho ww kijana unakufa kwenye kundi la wezi Majambazi na
Magaidi wabaya👈
Shekhe kakuonya usijiingize kwenye zogo usilo lijua‼️
badala ya kumsifia Shekhe mnalalamika❗️❗️❗️❗️
mkifa pia mtalalamika😇😇😇✍️