Hicho kikundi chao cha kigaidi kinafadhiliwa 100% na Abduli ndiyo maana anajiamini hivyo.Jana ameongea tena
Hawezi kukamatwa kwa sababu hicho kikundi ni cha AbduliCha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato. Pole kwa maombolezoWewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29.
Wewe shehe Mwaipopo vitisho vyako vinakuweka hatarini zaidi wewe na familia yako kuliko waandamanaji unaowatishia.
Hata kisipowaka 7/7 ,ipo siku kitawaka na utajuta sana kwa nini ulitoa hivyo vitisho.
Wewe utakuwa ulikuwa kimada wa JPM akakupiga kibuti.....sio kwa hasira hizi dhidi ya mjane, dah!Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato. Pole kwa maombolezo
Kakosea wp kuyakanya Mapepo ya kilokole na mikondooo iliopotea nyinyi mnatakiwa kuonywa kama bado kusikia basi tunajua Kenge mpaka sikio livuje Damu ndio mtasikia njooo tu 7+7.Cha kushangaza mpaka sasa serikali ijamuonya wala bakwata
Askofu Gwajima yule sio Shekhe ✍️Yeye sio Shehe
Mwaipopo anayejiita sheikh ni jambazi na tapeli aliyekubuhu kutoka Mabama kule Tabora.Sasa ameanza kumikiki kikundi cha magaidi baada ya kuhongwa mtaji na wahuni wenzake.
Hao watu hawana akili timamu ndio maana kiongozi wao wa Imani hakujua kusoma wala kuandika.
1. Mjini aliitetea sana selikali kikamlamba.
2. Polepole aliitetea sana Selikali kikamlamba.
AKILI KWA MKICHWA.
Mwaipopo aache siasa ahubiri mikutano yake ya mihadhara kukashifu Wakristo na kuuza mafuta ya miti shamba na mafuta ya mizeituni la sivyo tutakunyoosha hiko kiuno kilichopinda au tukumalizie kabisa.