Sheikh Mwaipopo hukujifunza chochote kutoka kwa yaliyomtokea shehe Sharifu Majini?

Jambazi Shekh tangu lini????

Mijambazi inayotambuliwa zaidi ni viongozi wenu wa kiroho umesau wanavyoshiriki kuuwa Albino ??
Ili kujipatia pesa!!

Je uho sio Ujambazi ???
Wewe bisha kwa kutumia kiuno halafu utamjua zaidi huyo sheikh kunna wako!
 
Hawezi kukamatwa kwa sababu hicho kikundi ni cha Abduli

Kwani Askofu Gwajima alikamatwa alipochanganya Siasa Kanisani kwake¿¿

bado mnaota kwenye mfumo Kikristo 💩💩💩 hakinya Shekhe ndio mnasikia harufu sio🫎🫎🫎

Viongozi wenu kutwa wanatoa Matamko lkn mmepiga kimyaaa🫎🫎🫎
 
Nasikitika kuutangazia umma kuwa uwezo wako kichwani ni mdogo sana!
 
Waacheni Mashekh waongee msiwaponde👈

ili twende sawa ✅️

mbona sisi hatuwapondi Viongozi wenu na matamko yao¿¿

Hatasisi hatupendi matamko yao
lkn tunawaheshimu kwa kupiga kinyaaa 👈
 
Na wewe tuondolee upumbavu wako hapa.
 

Kuna wanaomtuma labda...ingawa najiuliza kwanini wanatumika watu ambao ni zero brain?
 
Waacheni Mashekh waongee msiwaponde👈

ili twende sawa ✅️

mbona sisi hatuwapondi Viongozi wenu na matamko yao¿¿

Hatasisi hatupendi matamko yao
lkn tunawaheshimu kwa kupiga kinyaaa 👈
Aliyempiga risasi shehe majini ni nani?
 
Gwajima hajawahi kutishia kuua watu
 
Gwaji boy hajawahi kuuambia umma ana terror squad na atawatahiri raia bila ya ganzi.

Hizi hoja za kutunga. Hazina ukweli. Kila ukweli unaposemwa, mnaanza uzushi na uongo na hila. Kuna shida lkubwa sana juu ya mnachoamni.

Haiwezekani hata yanayowadhuru wenyewe zaidi hamyaoni, mnaangalia dini ya mtu anayesema. Kwenye hii dunia ya leo maskini wengi, wanaopenda kutesana na kuuana, tena wakati mwingine ni dini moja, kina nani?

Tanzania itasonga mbele na lazima ikae sawa...tupende tusipende. Ila sio kwa kutumia watu wenye akili ndogo na wajinga, kama hawa naowaona kila siku wanakoroma mitandaoni.

Ngoma za watoto huwa hazikeshi....na wa mbili havai moja. Kupiga kelele sana sio ndio kuwa jasiri na mwenye uwezo...uswahilini tunaamini debe tupu huwa haliachi kutika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…