Sheikh Mwaipopo hukujifunza chochote kutoka kwa yaliyomtokea shehe Sharifu Majini?


Wakati nyinyi Viongozi wenu wanaiba mlikiwa wapi!!!!!

Mbona HOJA HII MNAKWEPA KUJIBU‼️

Rais Samia Suluhu Hassan kaingia 2021 IKULU ✅️

PATO LA TAIFA KUPITIA TRA LILIKUWA TRILIONI 17 TU✍️

CHINI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KIONGOZI MWENYE UNYENYEKEVU MKUBWA NA MCHA MUNGU👈
LEO TRA WANAKUSANYA
TRILIONI 32+ ✅️

kwa hoja hii tu🖕🖕
Rais Samia Suluhu Hassan ni msafi kama Sufi nyeupe ✍️

Majizi ndio mnamsakama baada kuziba matundu ya Wizi 👈

Kama sio jibuni hoja hii juu apo Trilioni 32👈

Kazi yenu kufanya propaganda tu ili Watanzania wasijue kuwa wapo na Rais mwema zaidi kuwai kutokea Tanzania

Zaidi mpo kidini Chuki zenu za Dini zitagawanya Taifa vipande vipande

Kila Rais akiwa Muislamu Chuki zenu zimekuwa kama Mimba lazima zijitokeze mbele✍️

Mwaka huu izo mimba mtazaaa tu 2030 sio kinyume chake✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…