Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Basi sheehe upigiwe debe uwe wewe kiongozi,ili ufanye yaliyobora zaidi?Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
Hivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
Wacha ushabiki wa kipumbavu.Mnataka kuipeleka Nchi kwenye huo ubaradhuli wenu.Hamtafanikiwa.wazee wa kobaz wanataka kuingia kwenye mtifuano na wagilalaya.
halafu mapema tu wagilalaya wanashinda
idadi ya kobaz wote tz ni equivalent na wasukuma tu
Ustadhi anaeleza ukweli mtupu tena hadharani kwa faida ya wadau wa JF na waTanzani wate kwa ujumlaKatibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
Mwaipopo??😳Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
Si kweliwazee wa kobaz wanataka kuingia kwenye mtifuano na wagilalaya.
halafu mapema tu wagilalaya wanashinda
idadi ya kobaz wote tz ni equivalent na wasukuma tu
Ndio huyu hapa sasa😁Tuacheni utani hakuna mnyakyusa ambae anaweza akawa competent kwenye ushekhe...
Ndio huyu hapa sasa😁
Huyo shekhe ajibu kuhusu tume ya uchaguzi kutakuwa huru.Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503