PreGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa na hafai kuwa kiongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shehe popo m waikopo mwaipopo mwanapopo apopolewe
 
Alikua ni mkristo alibadili dini, hamna shekhe hapo... dini yenyewe alibadili akiwa mtu mzima so kitimoto anaijua radha yake mwanzo mwisho
Huyo ni mwaipopo wa pili. Yupo wa kwanza, bahati nzuri sasa marehemu. Aliwaibia hadi waarabu hadi wakamkamata na kampiga kama mbwa koko. Hao ndivyo walivyo. Sijui wana uhusiano?
 
Unawaandikia mabeberu au?
 
Tumsamehe, tatizo elimu ndugu zangu.
 
Nawachukia sana hawa wapumbavu ambao wanauchafua uislamu kwa maslahi yao

Mtu kama anataka aingie kwenye siasa bora aingie yeye kama yeye ila si kwa mlengo wa kujificha kwenye uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…