PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Warioba anatumiwa na wazungu kueneza chuki kwa watanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

“Ni nchi gani inayofanya uchaguzi halafu vyombo vya ulinzi na usalama visijiandae? Unaingiaje kwenye uchaguzi halafu vyombo vya ulinzi unaviambia viendelee kula bata, viendelee kula bata mitaani?” Sheikh Mwaipopo
 
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

Usiwe unatupostia hizi takataka ,mpuuzi mmoja
 
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

..pamoja na rafiki yake Sharrif Majini kuuwawa na Polisi akiwa nyumbani kwake Sheikh Mwaipopo bado yuko upande wa serikali. Kweli Sheikh Mwaipopo ni mzalendo na anampenda Rais, na anaipenda nchi yake.🤣
 
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

Afadhali mtu aswali sebuleni kwake kuliko kwenda kwenye msikiti unaoongozwa na shehe kama huyu.
 
Back
Top Bottom