TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
We hushtuki tu kwanza sheikh anaitwa Mwaipopo
SAMIA NI MUUAJISheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:
Wala sipingani nawe.Aiseeee... Sisi shule hatupendi kabisa... Tukishashiba Ubwabwa basi tunaridhika kabisa.