PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Warioba anatumiwa na wazungu kueneza chuki kwa watanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

Ccm imezalisha wajinga Kila sekta
Shame upon to ccm
 
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

Vipi unayetumiwa na wajomba a.k.a mwarabu na wakulungwa tumepiga kimywa?
 
Joseph alilaumu serikali kuviambia vyombo vya usalama vijiandae na uchaguzi,kwake ilikua shida
Vyombo hivyo vikitangaza kuimarisha ulinzi siku za sikukuu kwa warioba siyo issue
Uzuri ujinga wote wa chama chako anaujua!
 
Siku hizi tuna viongozi wengi wa kidini wanataka kuwateka watu kuwa mateka wao na chakula chao huko jehanamu, tusubiri siku mbingu zikifungwa, nchi ikiondoka na jua likikaribia
 
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

Kiazi mbatata kingine hiki
1767239636515.jpg
 
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:

Mbingu zimesikia , haki inaenda dhihilishwa na Bwana , walio juu watashushwa na walio chini watapandishwa , ujumbe kutoka kwa Bwana kuanzia leo tarehe 1/1/2026.
 
..pamoja na rafiki yake Sharrif Majini kuuwawa na Polisi akiwa nyumbani kwake Sheikh Mwaipopo bado yuko upande wa serikali. Kweli Sheikh Mwaipopo ni mzalendo na anampenda Rais, na anaipenda nchi yake.🤣
Huyo sheikh majini labda ni mgeni aliekuja kuandamana bongo
 
Siku hizi tuna viongozi wengi wa kidini wanataka kuwateka watu kuwa mateka wao na chakula chao huko jehanamu, tusubiri siku mbingu zikifungwa, nchi ikiondoka na jua likikaribia
Mbigu zinafunguliwa lini?
 
Hawa sio wa kuwachukulia poa, anaamini kila kitu anachoongea hapo na utakuta hata sio pesa,hao wakiambiwa chinja wanachinja tuu, na wapo wengi sana….tunapoelekea Gods knows
 
Mwaipopo ni wakala la shetani, ndiyo maana hata siku moja hajawahi kuongelea chochote kinachohusu mapenzi ya Mungu, yeye siku zote hujibanza kwa watawala ili walijaze tumbo lake.
 
Back
Top Bottom