gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Joseph alilaumu serikali kuviambia vyombo vya usalama vijiandae na uchaguzi,kwake ilikua shidaHawa ndio wanaofanya uislam unaonekana kituko. Sasa kosa la Joseph ni nini?
Vyombo hivyo vikitangaza kuimarisha ulinzi siku za sikukuu kwa warioba siyo issue