PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.

Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.

"Sheikh anasema katika krani Mwenyezi Mungu anasema kuua mtu mmoja ni sawa na mtu umeua watu wote. Na akasema katika madhambi makubwa sana ni dhambi ya kuua

"Si kila kuua ni dhambi. Kuna kuua ni dhambi na kuua si dhambi... Tuambie ni mtu gani ambaye Mungu amehalamisha kuitoa nafsi yake. Si kila mtu anayeuawa ni dhambi."

Soma Pia: Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

"Hawa watu waliouawa tarehe 29 walikuwa na haki ya kuuawa. Nasema kabisa na Mungu anajua walahi. Na kama ingelikuwa ni Islamic State hii nchi ni nchi ya Kiislamu wangekufa watu wengi kuliko mnavyofikiri."

Sheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.

Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.

Huyu mwendawazimu anacheza na moto
 
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.

Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.

nadhani sheikh yupo sahihi 100%🐒
 
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.

Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.

Akiwemo na sheikh wake mkubwa sheikh sharifu majini aliyemfanya atoe machozi?
Haya bwana
 
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.

Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.

Huyu bwana uongoz huu utakapoisha atatafuta pa kuweka sura
 
Huyu usheikh aliupatapata vp je ni kwasasabu anavaa makanzu?
 
Mdanganye huyo mwehu mwenzio ila moto anaochezea utamlipukia
jitie kimbelembele kwamba kwa kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu na kupora maduka ya watu eti ndio unadai haki ufurahishwe gentleman 🐒
 
Nimekwambia kamwambie huyo mwehu mwenzio anayejiita shehe kuwa anachezea moto. Mambo anayoongea hadharani yatamlipukia. Mfikishie ujumbe.
 
Back
Top Bottom