PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa

PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Anakuaje sahihi wakati yale ni machafuko hivyo wapo waliyokufa ambao hata hawakuhusika na fujo zozote ikiwemo sheikh mwezie, sheikh majini.
Gentleman,
kwa mtazamo wako,
kwamba chama cha siasa nchini kua na wanachama makamanda watupu ndio sahihi,
right?🐒
 
Huyu jamaa amechanganyikiwa muoneeni huruma tu yaan alipoanza kushindana na hio clip inayosema kuua ni dhambi kubwa kisha akaanza kupingana na kitabu anajifanya anakisoma Quran ndio nikagundua huyu jamaa sasa dish limeyumba rasmi na hafai kuitwa Shekhe rafiki yake Sharifu Majini aliuawa akaanza kumlilia kinafiki leo anasema ilikua halali auwawe maana kufa ilikua ni haki yake
 
Gentleman,
kwa mtazamo wako,
kwamba chama cha siasa nchini kua na wanachama makamanda watupu ndio sahihi,
right?🐒
Mbona nje ya mada kabisa? Huyo sheikh alivyokufa sheikh majini alitoa hadi machozi mbele ya waandishi wa habari ila leo anasema ni sahihi marehemu sheikh mwenzie kuuwawa.
 
Na mkono wake uliopinda kama mboo yangu ashashiba pesa anaropoka tu uyo ni muhuni hakuna shehe umo tunaomjua tunamjua vizru
 
Nashauri tu wana jukwaa wenzangu huyu,habari zake tusiziweke,ikiwezekana hats hii post alieleta aifute,maana anawakumbusha watu machungu na kuwadharau watanzania wenzetu.(ushauri tu lakini)
 
Back
Top Bottom