Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.
Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.
"Sheikh anasema katika krani Mwenyezi Mungu anasema kuua mtu mmoja ni sawa na mtu umeua watu wote. Na akasema katika madhambi makubwa sana ni dhambi ya kuua
"Si kila kuua ni dhambi. Kuna kuua ni dhambi na kuua si dhambi... Tuambie ni mtu gani ambaye Mungu amehalamisha kuitoa nafsi yake. Si kila mtu anayeuawa ni dhambi."
"Hawa watu waliouawa tarehe 29 walikuwa na haki ya kuuawa. Nasema kabisa na Mungu anajua walahi. Na kama ingelikuwa ni Islamic State hii nchi ni nchi ya Kiislamu wangekufa watu wengi kuliko mnavyofikiri."
View attachment 3701733