PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.

Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.

"Sheikh anasema katika krani Mwenyezi Mungu anasema kuua mtu mmoja ni sawa na mtu umeua watu wote. Na akasema katika madhambi makubwa sana ni dhambi ya kuua

"Si kila kuua ni dhambi. Kuna kuua ni dhambi na kuua si dhambi... Tuambie ni mtu gani ambaye Mungu amehalamisha kuitoa nafsi yake. Si kila mtu anayeuawa ni dhambi."

Soma Pia: Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

"Hawa watu waliouawa tarehe 29 walikuwa na haki ya kuuawa. Nasema kabisa na Mungu anajua walahi. Na kama ingelikuwa ni Islamic State hii nchi ni nchi ya Kiislamu wangekufa watu wengi kuliko mnavyofikiri."

View attachment 3701733
Sasa siku ile alikua analia nini baada ya kusikia Sharif Majini kauawa.Ila kweli Mwafrica akiwa na Njaa hana kumbukumbu
 
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.

Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.

"Sheikh anasema katika krani Mwenyezi Mungu anasema kuua mtu mmoja ni sawa na mtu umeua watu wote. Na akasema katika madhambi makubwa sana ni dhambi ya kuua

"Si kila kuua ni dhambi. Kuna kuua ni dhambi na kuua si dhambi... Tuambie ni mtu gani ambaye Mungu amehalamisha kuitoa nafsi yake. Si kila mtu anayeuawa ni dhambi."

Soma Pia: Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

"Hawa watu waliouawa tarehe 29 walikuwa na haki ya kuuawa. Nasema kabisa na Mungu anajua walahi. Na kama ingelikuwa ni Islamic State hii nchi ni nchi ya Kiislamu wangekufa watu wengi kuliko mnavyofikiri."

View attachment 3701733
Huyo anaphhilwa hawezi kuwa na akili,we unamuona anatembea upande upande muda wote mmkundu unamuuma kwa vifiro..shoga tangu lini akawa na akili!!
 
Ni Kama mleta maada umetoa tafsiri yako nje ya anachokizungumza Mwaipopo, mbaya zaidi kama kawaida wachangiaji wamejikita kwenye comment bila kusikiliza..

Umechukua maneno ya mwisho na sio kuanzia kwenye ufafanuzi wake wa mwanzo unaobeba utetezi wa kauli yake ya mwisho.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
Ona thhenge ili, inamaana wewe peke yako ndio umemsikiliza???? Phala ww
 
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.

Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.

"Sheikh anasema katika krani Mwenyezi Mungu anasema kuua mtu mmoja ni sawa na mtu umeua watu wote. Na akasema katika madhambi makubwa sana ni dhambi ya kuua

"Si kila kuua ni dhambi. Kuna kuua ni dhambi na kuua si dhambi... Tuambie ni mtu gani ambaye Mungu amehalamisha kuitoa nafsi yake. Si kila mtu anayeuawa ni dhambi."

Soma Pia: Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

"Hawa watu waliouawa tarehe 29 walikuwa na haki ya kuuawa. Nasema kabisa na Mungu anajua walahi. Na kama ingelikuwa ni Islamic State hii nchi ni nchi ya Kiislamu wangekufa watu wengi kuliko mnavyofikiri."

View attachment 3701733
Eti nchi zote za Kiislam hakuna maandamo kwa hiyo Maandamano yaliyo zikumba nchi za Morroco,Irani,Tunisia,Yemen etc ni nchi gani hizo
 
Ona thhenge ili, inamaana wewe peke yako ndio umemsikiliza???? Phala ww

Ubarikiwe sana Chief, Mwenyezi Mungu atusamehe kila tulipokosea na kutufanyia wepesi kila penye ugumu.

Chief inawezekana pia ikawa peke yangu ndio nimeiangalia na kusikiliza hiyo clip.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
 
Nasema hivi

Uislamu ni dini ya laana, ukiwa muislamu umelaaniwa na Mungu
Duh, Waislamu wanaingiaje tena hapa.
InshaAllah, Mwenyezi Mungu akusamehe na kukupa ufahamu zaidi wakuyaendea na kuyaelewa mambo.

ndani ya viunga vya Hodeidah - port, Yemeni.
 
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.

Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.

"Sheikh anasema katika krani Mwenyezi Mungu anasema kuua mtu mmoja ni sawa na mtu umeua watu wote. Na akasema katika madhambi makubwa sana ni dhambi ya kuua

"Si kila kuua ni dhambi. Kuna kuua ni dhambi na kuua si dhambi... Tuambie ni mtu gani ambaye Mungu amehalamisha kuitoa nafsi yake. Si kila mtu anayeuawa ni dhambi."

Soma Pia: Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

"Hawa watu waliouawa tarehe 29 walikuwa na haki ya kuuawa. Nasema kabisa na Mungu anajua walahi. Na kama ingelikuwa ni Islamic State hii nchi ni nchi ya Kiislamu wangekufa watu wengi kuliko mnavyofikiri."

View attachment 3701733
Mwisho wa huyu mtu utakuwa ni mbaya sana na wafedheha
 
Duh, Waislamu wanaingiaje tena hapa.
InshaAllah, Mwenyezi Mungu akusamehe na kukupa ufahamu zaidi wakuyaendea na kuyaelewa mambo.

ndani ya viunga vya Hodeidah - port, Yemeni.
Nyie ni wapumbavu na mmelaaniwa na Mungu
 
Maisha ni kama mbiyo za marathoni unaweza ukajiona unaongoza kukimbia kumbe mbele yako bado kuna kama kilomita 20,
Kuna mwisho mbaya ukiwa unakaribia kufa,kuna mwisho mbaya ukiwa wale uliokuwa unawategemea hawako tena katika sehemu ya maamuzi
 
Nyie ni wapumbavu na mmelaaniwa na Mungu
Mwenyezi akusamehe na kukufanyia wepesi kila penye ugumu InshaAllah na akupe maono zaidi.

Sijui unatumia vigezo gani kusema Waislamu wamelaanika, labda ungeshare na sisi ili tupate kujua.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
 
Hakuna Jipya alilosema hapo.

TUlishaambiwa Watanzania Tungetaka watoto wetu wasiuawe tusingruhusu watoke nje.
WAlipotoka tuu, ilikiwa ni halali yao kupigwa risasi.

Sema huyu mwaipopo anazidisha chuki ya Wananchi dhidi ya establishment
 
Sheikh Mwaipopo amesema kuwa watu waliouawa Oktoba 29 walistahili kuuawa, akisisitiza kuwa Mungu anajua ukweli wa kauli yake.

Ameongeza kuwa kama nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Islamic State, na kuwa nchi ya Kiislamu, watu wengi zaidi wangekufa kuliko wengi wanavyofikiria.

"Sheikh anasema katika krani Mwenyezi Mungu anasema kuua mtu mmoja ni sawa na mtu umeua watu wote. Na akasema katika madhambi makubwa sana ni dhambi ya kuua

"Si kila kuua ni dhambi. Kuna kuua ni dhambi na kuua si dhambi... Tuambie ni mtu gani ambaye Mungu amehalamisha kuitoa nafsi yake. Si kila mtu anayeuawa ni dhambi."

Soma Pia: Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

"Hawa watu waliouawa tarehe 29 walikuwa na haki ya kuuawa. Nasema kabisa na Mungu anajua walahi. Na kama ingelikuwa ni Islamic State hii nchi ni nchi ya Kiislamu wangekufa watu wengi kuliko mnavyofikiri."

View attachment 3701733
Tatizo alichopandikizwa humo kichwani na shetani ni uuaji ili apewe Bikra 72.
Brainwashed.
 
Hawa ndio wasomi wa CCM ya sasa chini ya chura aka kizimkazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom