Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyu mwendawazimu anacheza na motoSheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.
Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.
nadhani sheikh yupo sahihi 100%πSheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.
Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.
Akiwemo na sheikh wake mkubwa sheikh sharifu majini aliyemfanya atoe machozi?Sheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.
Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.
Mdanganye huyo mwehu mwenzio ila moto anaochezea utamlipukianadhani sheikh yupo sahihi 100%π
Huyu bwana uongoz huu utakapoisha atatafuta pa kuweka suraSheikh Mwaipopo amesema kuwa si kila kitendo cha kuua mtu ni dhambi, akitoa mfano wa mtu anayemuua mtu mwingine kwa kujitetea.
Amesema kuwa mtu anapomuua mwingine aliyekuwa akitishia maisha yake, kitendo hicho hakiwezi kuchukuliwa kuwa kosa, akirejelea watu waliouawa Oktoba 29 na kudai kuwa walistahili kuuawa.
https://www.facebook.com/nadhani sheikh yupo sahihi 100%π
jitie kimbelembele kwamba kwa kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu na kupora maduka ya watu eti ndio unadai haki ufurahishwe gentleman πMdanganye huyo mwehu mwenzio ila moto anaochezea utamlipukia
Nimekwambia kamwambie huyo mwehu mwenzio anayejiita shehe kuwa anachezea moto. Mambo anayoongea hadharani yatamlipukia. Mfikishie ujumbe.jitie kimbelembele kwamba kwa kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu na kupora maduka ya watu eti ndio unadai haki ufurahishwe gentleman π