PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimekwambia kamwambie huyo mwehu mwenzio anayejiita shehe kuwa anachezea moto. Mambo anayoongea hadharani yatamlipukia. Mfikishie ujumbe.
ok,
tuliza mihemko useless bas jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
 
Huyu ni msemaji wa mama Samia Suluhu Hassan. Ukiona kifaranga cha kuku kwenye mnazi, jua kwamba kimepandishwa
 
Kauli rasmi ya CCM.
i
 
Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake aisee huyu shekhe wala simlaumu anaongozwa na shetani hana hofu ya Mungu
 
Ndiyo maana waislam wanapoua watu wengine kama kule Jordan wanakuwa wanatekeleza mafundisho ya dini yao. Mwaipopo anadhihirisha tu mafundisho yao
 
Atakuwa ni shekhe wa shetani. Kwenda kwenye ibada inayoendeshwa na mtu kama huyu, mfuasi kamili wa shetani, ni kutafuta laana ya Mungu wa haki. Huyu siyo mtu unayetakiwa hata kumsogelea wala kugusana, ni shetani katika umbile la mwanadamu.
 
Anafanya waislamu wote waonekane viazi. Akati kuna waislam smart sana hawawezi kukaa kusikiliza uharo aliouongea.
 
Angeshauriwa kukaa kimya.

Anaudhihirishia ulimwengu kuwa uislam ni dini ya kishetani, chuki, waropokaji, washari, wauaji na takataka.

Anazidisha hasira, msongo, chuki na visasi kwa wazazi, wajane, yatima, na ndugu wa marehemu maelfu walio uwawa bila hatia wa dini zote japo inaonekana wakristo huenda walilengwa zaidi kwa makusudi.

Kuna ushahidi usio na shaka wa watu kupigwa risasi wakiwa vibanda vya video, mama lishe, hata watoto wachanga, wajawazito, na akina Mama wakiwa wamebeba watoto migongoni. Nao walistahili kufa.
 
Anasema kama hii nchi ingekuwa ya kiislam wangekufa watu wengi kuliko ilivyotokea.
 
Mwaipox kama Mwaipox, huyo kitengo hana uislam wowote. Kazi yake ndio hiyo kutwist mambo.
 
Mfikishieni ujumbe huu amsikilize Cyprian Musiba Majura kisha akimaliza akamuulize anaishije kwa sasa baada ya maboss wake kufa.
Your browser is not able to display this video.
 
Ni Kama mleta maada umetoa tafsiri yako nje ya anachokizungumza Mwaipopo, mbaya zaidi kama kawaida wachangiaji wamejikita kwenye comment bila kusikiliza..

Umechukua maneno ya mwisho na sio kuanzia kwenye ufafanuzi wake wa mwanzo unaobeba utetezi wa kauli yake ya mwisho.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…