wakati mwingine,sikiliza, kweli bado yuko hai?
Anaesema mwanamke hapashwi kuwa Rais!
utawala huuInategmea ni ya lini
recent utawala huuYa lini hii?sikuwahi kuiona.
Nanukuu naomba msinishambuliesikiliza, kweli bado yuko hai?
Anaesema mwanamke hapashwi kuwa Rais!
Kwa ivo wanaohangika na maoni ya Gwajima ni washirikina?wakati mwingine,
kubabaika sana na maoni au mtazamo huru wa raia mwingine mwenye haki ya kutoa maoni ni ushirikina 🐒
upotoshaji wowote wa makusudi ni Lazima udhibitiwe kwa mujibu wa sheria gentleman 🐒Kwa ivo wanaohangika na maoni ya Gwajima ni washirikina?
Wakristo wanakaza fuvu ila ukweli unaonekana dhahiri
Nani ana mamlaka ya kujua huu ni upotoshaji na haya ni maoni huru ya mtanzania yanayotakiwa kuheshimiwa?upotoshaji wowote wa makusudi ni Lazima udhibitiwe kwa mujibu wa sheria gentleman 🐒
ukweli upi?ukweli unaonekana dhahiri
Soma heading ya thread.ukweli upi?