Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Amos makala siyo mwislam lakini anawatuma waislam kufanya unafiki kutengeneza propaganda za UDINI kwa njia haramu za kishetani
kila kitu kinachofanyika unconnect na udini sio tabia nzuri and as i said usiweke hisia kwenye siasa, siasa ni ajira za watu
 
Hata maneno ya Gwajima kuhusu Haki, kuteka na kuua ni ya Biblia! Sasa mbona mnafungia kanisa? Si mufungie Biblia kama mlivyofungia kitabu cha Satanic Verses cha Salman Rushidie?
Ndicho nilichokua naklmwambia niliyekua namjibu kuwa kama kuteka waiteke Quran. Na hata kwa gwajima kinachoendelea ni kuwa nawagusa wahusika wa kuteka na mauwaji ndiyo maana wanamuamdama. Ccm wanataka watu wasikemee maovu yao ili waendelee kuuwa sababu huu ni mpango endelevu
 
Unajiekewa kweli wewe?. Sasa maneno yameandika kwenye Quran wewe unasema kwenye katiba ipi?. MUNGU ANA KATIBA?. Mkitetea ujinga muwe mnaangalia. Sivyo mtaonekana wajinga sana. Yeye kazungumzia kilichoandikwa kwenye Quran. Wewe unazungumzia katiba wapi na wapi?
Hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa Katiba nasio dini yoyote..Sasa nini uelewi?
 
Awe makini wasimpoteze
Watu wasiogope kufa tu maana kupo, ila wawe na imani kuwa jinai haiozi hivyo wauaji watapatikana siku zijazo maana lazima kuna siku utawala wa uovu utaanguka tu na wema wanawajua watawataja na kutajana wenyewe. Sheria itachukua mkono na kuwa vilio kwao na familia zao.
Kama wauaji wa NAZI na GESTAPO miaka ya 1940's walikuja kamatwa wakiwa wazee tena wengine wako kwenye 80's ndio itakuwa hawa vimbwenelehi?
 
Whatever kikubwa kasema ukweli hata walipofanikiwa kina Angel Merkel, Queen Elizabeth, Margreth Thatcher, bi Indira Ghandi na wengineo dume lilikaa juu hata kama behind scenes, sasa single maza anawezaje?
Unajuaje na yeye kuna wanaume nyuma yake mkuu, who knows.
 
Watu wasiogope kufa tu maana kupo, ila wawe na imani kuwa jinai haiozi hivyo wauaji watapatikana siku zijazo maana lazima kuna siku utawala wa uovu utaanguka tu na wema wanawajua watawataja na kutajana wenyewe. Sheria itachukua mkono na kuwa vilio kwao na familia zao.
Kama wauaji wa NAZI na GESTAPO miaka ya 1940's walikuja kamatwa wakiwa wazee tena wengine wako kwenye 80's ndio itakuwa hawa vimbwenelehi?
Imagine Samia inherit Goring fate
 
Back
Top Bottom