Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,090
- 22,803
Ataikana kwa kutunga vifungu visivyokuwepo ili kulinda ubwabwa wake.Iko sehemu salama.
Na kwa vile muhusika alietajwa anapenda kusifiwa basi atamwagiwa misifia ya uongo mpaka atalainika.
Ataikana kwa kutunga vifungu visivyokuwepo ili kulinda ubwabwa wake.Iko sehemu salama.
Kamtaja Rais wa nchi gani? Kasema Rais tu yeyeTaarifa imfikie Msajili.
Ndugu Msajili tafadhali FUNGIA Misikiti yote Tanzania. Maneno ya huyu shehe mkuu wa Dar es Salaam ni yakihaini, ameonesha dharau kubwa kwa Mh. Rais, amechanganya dini na siasa.
Huwezi zungumza maneno kama haya msikitini, unadhani mama yetu atajisikiaje? Msimseme mama vibaya.
Miskiti yote ifungiwe, sheria ni msumeno.
View attachment 3356288
Kwahiyo kwa vile hakumtaja raisi kwa jina inamaanisha hiyo hukumu haimuhusu raisi wenu?? Kwamba vifungu vya dini vina exemption kwa mtu fulani.Kamtaja Rais wa nchi gani? Kasema Rais tu yeye
Issue ni contents maana maandiko yanaishi au kuna quran mpya imetokaMbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Sasa nyinyi wakiristo ndio mnaomnataka awe Rais, yeye atakataa? Kuna mtu atakataa urais? Kuna mtu akataa ofaa ya urais? Umeona wapi nchi ya kiislam akawa Rais mwanamke? Nchi za kikiristo Marais wanawake wapo wengi tu, mfano Germany Marais wanawake washapita wengi tuKwahiyo kwa vile hakumtaja raisi kwa jina inamaanisha hiyo hukumu haimuhusu raisi wenu?? Kwamba vifungu vya dini vina exemption kwa mtu fulani.
Ikiwa unajiita muumin basi inapaswa uamini na kutekeleza kila fundisho la dini na sio kuchagua vipengele pekee vinavyokufaa wewe tu na kuacha vingine vinanvyokukandamiza.
Sheikh Mimi ni Muislam wa Kuzaliwa, kuelelewa na kusomea.Sasa nyinyi wakiristo ndio mnaomnataka awe Rais, yeye atakataa? Kuna mtu atakataa urais? Umeona wapi nchi ya kiislam akawa Rais mwanamke?
Chama gani?Sheikh Mimi ni Muislam wa Kuzaliwa, kuelelewa na kusomea.
Sina chama chochote na pia si mnafiki wa kuchagua vipengele vya dini vinanyonifaa na ninavyohisi havifai nivikane.Chama gani?
Maneno ya Quran ni ya stone age.Mbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Upo jukwa la siasa jf halafu huna chama ? Kweli wewe?Sina chama chochote na pia si mnafiki wa kuchagua vipengele vya dini vinanyonifaa na ninavyohisi havifai nivikane.
Hata maneno ya Gwajima kuhusu Haki, kuteka na kuua ni ya Biblia! Sasa mbona mnafungia kanisa? Si mufungie Biblia kama mlivyofungia kitabu cha Satanic Verses cha Salman Rushidie?Hayo ni maneno ya qoran Sasa hapo unapingaje?. Sasa Samia atapingana na qoran si anayajua haya maneno yapo. Na apo napo watamteka kwa kusema maneno ya kwenye qoran.
Kama vipi waiteke qorun
Kama huo ndio ukomo wa fikra zako basi ni dhahiri nabishana na mtu asie sahihi.Upo jukwa la siasa jf halafu huna chama ? Kweli wewe?
Kutwa unashinda jukwaa la jf la siasa, halafu unasema hupendi siasa?Kama huo ndio ukomo wa fikra zako basi ni dhahiri nabishana na mtu asie sahihi.
Uwe na asubuhi njema.
Na siku ukikutwa wodi ya wazazi usihamaki ukiulizwa kama una mimba.
Kwa hiyo kwasababu ni ya zamani maidhui yake yanapotea leo.Mbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Rejea comment yangu hapo wapi palipoandikwa SIPENDI SIASA.Kutwa unashinda jukwaa la jf la siasa, halafu unasema hupendi siasa?
Ukiipata naomba unitag makaveli10Hii clip ni ya muda sana, anachokifanya sa100 ni anathibitisha alichokisema huyu sheikh miaka kadhaa nyuma.
Kuna clip ya huyu sheikh akikemea uchawa na kujipendekeza ni tabia ambazo uislamu hautaki, hiyo ndio naitaka mimi.
Hasa huyu tuliye nae, very obese.Ya lini hii?sikuwahi kuiona.
Kwa hiyo kama ni video ya zamani! Ipuuzwe? Maana hayo maneno yake bado yanaishi.Hii ni video ya zamani