mkandu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 347
- 472
Siku nyingine unapaswa ujifunze kabla ya kuandika post yoyote.
Na hili liwe darasa tosha kwa watu wasiojua kama wewe itawasaidia.
Kwenye uislamu hakuna msikiti wa Sheikh Faridi au Sheikh Mazinge ikawa yyndio mmiliki kama ilivyo kanisa la Gwajima, Kanisa la Kakobe, kanisa la Zumaridi na mfano kama hayo.
Msikiti ukijengwa hata na mtu binafsi ukishaanza kutumika kiibada ujue huo ni mali ya waumini hata uchaguzi wa imamu wa msikiti hilo husimamiwa na waumini na sio mjenzi wa msikiti.
Kwa hiyo hata ingekuwa hayo maneno uliyoyashabihisha na uhaini yangekuwa ni kweli usingefungwa msikiti km msikiti bali mzungumzaji angewajibishwa yeye na sio misikiti yooote ya Dar.
Kwa sababu Sheikh Warid hamiliki msikiti hata mmoja Tz.