Yapo kwenye nini?. Kwa hiyo unayakana kuwa siyo ya Mungu niya mtume tu. Mkiamuaga kutetea mtamkana hata MUNGU.hii sio Qur' an, bali ni hadithi ya Mtume
Yapo kwenye nini?. Kwa hiyo unayakana kuwa siyo ya Mungu niya mtume tu. Mkiamuaga kutetea mtamkana hata MUNGU.hii sio Qur' an, bali ni hadithi ya Mtume
Nimetoka kumwambia mtu juzi kwambaView attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakaenda.
Mkuu vyovyote iwavyo inasadifu na kuakisi hali halisi ya siasa na uongozi nchini mwetu!Hii ni video ya zamani
Lakini ujumbe wake si bado unaishi?!Hii ni video ya zamani
Either way,Shehe amechanganya dini na siasa kwenye nyumba ya Ibada au hajachanganya?Mbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Ni laana Tanganyika haiwezi kuongozwa na mwanamkeHuyu Samia Zanzibar kamwe hawezi kuwa Rais wangemua kitambo sana. Muulize Asha Maremba yule aliwakashifu CUF aliishia wapi. Mwanamke hafai kuongoza ndio maana hata Mungu alimuumba kama msaidizi wa mume. Watanganyika tunaongozwa na huyu mama ni laana hii. Kikwete nakuombea kila uchwao mauti yakufike.
Wana Double standard.Aaaah!!!
Mambo mengine unaweza kuchanganyikiwa tu aseee!!!!
Sasa kama maneno hayo yanayosema mwanamke hastahili kuwa kiongozi yapo kwenye kuran, iweje sasa kiongozi ni mwanamke na ni mwislam vile vile na huwa anaenda misikitini na pia anakutana na mashehe wakuu kabisa katika dini.
Iweje watu wakila mchana kipindi cha mfungo mtukufu wacharazwa sababu ni kinyume na sharia za kuran lakini iwe sawa kwa mwanamke wa kiislam kuwa top leader na asikatazwe?
Na viongozi wa dini kila siku wanachekelea, tena wengine humtetea kabisaa hamuoni kama wafanya dhambi? Au dhambi ni kwa watu wa hali ya chini tu?
Mie naona ndugu zangu waislam woooote mliopo nchini, dua zenu hazipokelewi na hata funga zenu hazina maana kwa sababu mnaruhusu mambo yaliyokatazwa na kuran.
DINI, SIASA, MPIRA: Haya mambo ukiyafuatisha yatakupeleka SENGEMNENGE sana na pia yatakuchelewesha sana.
Huyo huyo, hoja ni kwamba kafanya uhaini na uhaini ni zaidi ya jinai.Hakunaga Shehe Mkuu wa Mkoa bali anaitwa Shehe wa Mkoa. Shehe Mkuu ni mmoja tu ambaye ni Mufti wa Tanzania
Sawa tumekusikia.Vyovyote vile ila miskiti ifungiwe maana kazungumza msikitini.
Hili alilisema kabla ya kupewa buyu la asili katika tawi la CCM la BAKWATA.Mods: uzi huu usichanganywe na uzi wowote, Taarifa imfikie Msajili.
Ndugu Msajili tafadhali FUNGIA Misikiti yote Tanzania. Maneno ya huyu shehe mkuu wa Dar es Salaam ni yakihaini, ameonesha dharau kubwa kwa Mh. Rais, amechanganya dini na siasa.
Huwezi zungumza maneno kama haya msikitini, unadhani mama yetu atajisikiaje? Msimseme mama vibaya.
Miskiti yote ifungiwe, sheria ni msumeno.
View attachment 3356288
Nilitaka kushangaa , nilitaka kusema huyu huyu aliyejengewa mpaka barabara ya zege, na kuwekwa na majirani bashashasiye huu, huyu ni kijana wa madrasa
Haijalishi alisema lini, UHAINI ni zaidi ya jinai na haina expire date.Hili alilisema kabla ya kupewa buyu la asili katika tawi la CCM la BAKWATA.
Sasa hivi anaimba mapambio kama yote.
Iko sehemu salama.Hii clip ilindwe Kwa nguvu zote
Neno la MUNGU lililopo kwenye Quran na Biblia ni sahihi na hudumu milelele yoteMbona mnachanganyikiwa hovyo ?
Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Na ndio maana wanachagua wa kuwapa uongozi wa BAKWATA ambalo ni tawi la CCM.Aaaah!!!