Kaongea imani inavyosemaView attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakenda.
Sema wewe huwezi, usiwasemee wengine kua hawaweziNadhani huyu shekhe alitoa hayo maneno zamani, hawezi kuongea hivyo wakati huu mambo yamekorogeka.
Kama si ya zamani hii, basi tusubiri taarifa mpya.View attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakenda.
Kaongea imani inavyosema
Niamini mimi hawezi kabisa maana hicho cheo alichonacho ni cheo cha kiserikali kama unaelewa lakini.Sema wewe huwezi, usiwasemee wengine kua hawawezi
Amesema hajasema? Ameingilia siasa hajaingilia siasa? Amechanganya siasa na dini au hajachanganya?Hii ni video ya zamani
Sio tu wakati huu kabla hajapata hiyo nafasi, sasa hivi hawezi sema hayo.Nadhani huyu shekhe alitoa hayo maneno zamani, hawezi kuongea hivyo wakati huu mambo yamekorogeka.