Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Hii ya zamani sana, ukimuita leo umwambie eseme hivyo tena hata kwa bunduki hatasema.
Sawa video ya zamani.

Ila umejifunza nini kuhusu siasa ya Tanzania nyakati hizi?

Machawa,walamba asali na watafuta teuzi wamekuwa ndiyo viongozi wa kutetea uozo wa Rais aliye madarakani. Mbaya zaidi wapenda haki wamekaa kimya bila kujigusa maana wakisema tu wanaundiwa zengwe na hata kuuawa.

Alafu Kuna kakikundi Fulani kameibuka kenyewe ukimsema Rais mwenendo anaoenda nao siyo mzuri wanakuita "mkristo" ,"mbona nyie wakristo enzi ya jiwe mlikaa kimya". Akina Faiza na wenzie.

Sisisem nchi mmeiharibu sana hii asee!!
 
hiyo CLIP ya kitambo

ila katika UISLAM mwanamke amepewa DARAJA LA KWAZA KWA KILA KITU hata katika PEPO mwanamke yeye ndio amependelewa kuchagua PEPO anayotaka

yaani ipo hivi katika PEPO zipo kwa madaraja kulingana na uliishi vipi
MADARAJA YA PEPO naweza nikatoa mfano wake ni kama HOTERI ZA KIFAHARI zipo NYOTA 3 NYOTA 4 na 5

na pepo zipo hivyohvyo kulingana na ubora wake
PEPO ya juu kabisa ni FIRDAUS na pepo ya chini kabisa kwa ubora inaitwa ADIN kuna mpk inayoitwa DAR ES SALAAM katika mfululizo wa ngazi za pepo ambazo zipo JUMLA kama level 7 kwa Mujibu wa QURAN

sasa mwanamke yeye Siku ya QIYAMA yeye amependelewa kwa kuchagua PEPO yeye mwenyewe anayoipenda
TOFAUTI na mwanaume yeye atakadiriwa na ALLAH kwa matendo yake kwa maana fanya ufanyavyo wema ila katika PEPO ALLAH ndio mchaguzi
lakini kwa MWANAMKE yeye akiwa mwema na ALLAH akamlizia basi uchagua PEPO yeye anayoitaka

nimeeleza mambo ya PEPO ili kuona namna gani UISLAM unavyompa mwanamke DARAJA la kwanza kwa kila kitu kuna mengi sana ukiacha ya pepo na hata hapa DUNIANI pia

lakini jambo moja tu ambalo MWENYENZI MUNGU amelikataa kwa mwanamke nalo si lingine bali UONGOZI mwanamke awezi kuwa KHALIFA
ndipo unakuja huo usemi alonukuliwa SHEKHE walidi kuwa MWANAMKE amepewa DARAJA LA KWANZA kwa kila kitu yaan FIRST CLASS isipokuwa UONGOZI wa juu
na ikitokea kuwa hivyo basi lazima mambo yaharibike
Huo ndio ukweli amenukuu maneno yaliyopo katika MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAM
 
Kwa hiyo toka zamani. Mpaka leo baso ni shehe wa mkoa?
hapo alikuwa anatoa DARASA msikiti MAGOMENI kichangani WALIDI alikuwa IMAM hapo kabla ya kuchaguliwa kuwa SHEKHE MKUU ni kawaida mara kwa mara kutoa mawaidha hapo msikitini na kuchukuliwa VIDEO kama mafunzo kwa wengine wasiokuwepo na kuweka kwa CD au kuwekwa YOUTUBE zipo CLIP nyingi sanq
 
hiyo CLIP ya kitambo

ila katika UISLAM mwanamke amepewa DARAJA LA KWAZA KWA KILA KITU hata katika PEPO mwanamke yeye ndio amependelewa kuchagua PEPO anayotaka

yaani ipo hivi katika PEPO zipo kwa madaraja kulingana na uliishi vipi
MADARAJA YA PEPO naweza nikatoa mfano wake ni kama HOTERI ZA KIFAHARI zipo NYOTA 3 NYOTA 4 na 5

na pepo zipo hivyohvyo kulingana na ubora wake
PEPO ya juu kabisa ni FIRDAUS na pepo ya chini kabisa kwa ubora inaitwa ADIN kuna mpk inayoitwa DAR ES SALAAM katika mfululizo wa ngazi za pepo ambazo zipo JUMLA kama level 7 kwa Mujibu wa QURAN

sasa mwanamke yeye Siku ya QIYAMA yeye amependelewa kwa kuchagua PEPO yeye mwenyewe anayoipenda
TOFAUTI na mwanaume yeye atakadiriwa na ALLAH kwa matendo yake kwa maana fanya ufanyavyo wema ila katika PEPO ALLAH ndio mchaguzi
lakini kwa MWANAMKE yeye akiwa mwema na ALLAH akamlizia basi uchagua PEPO yeye anayoitaka

nimeeleza mambo ya PEPO ili kuona namna gani UISLAM unavyompa mwanamke DARAJA la kwanza kwa kila kitu kuna mengi sana ukiacha ya pepo na hata hapa DUNIANI pia

lakini jambo moja tu ambalo MWENYENZI MUNGU amelikataa kwa mwanamke nalo si lingine bali UONGOZI mwanamke awezi kuwa KHALIFA
ndipo unakuja huo usemi alonukuliwa SHEKHE walidi kuwa MWANAMKE amepewa DARAJA LA KWANZA kwa kila kitu yaan FIRST CLASS isipokuwa UONGOZI wa juu
na ikitokea kuwa hivyo basi lazima mambo yaharibike
Huo ndio ukweli amenukuu maneno yaliyopo katika MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAM
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
Basi ndio tuseme viongozi na waislam wengi hawafahamu baadhi ya maandiko kwenye vitabu vyao, haswa hapa nchini kwetu.
 
HAYO MANENO ALIYOSEMA AMESOMA HADITHI YA MTUME SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM...NA ALIFUNDISHA HILO DARSA PENGINE MUDA SANA KABLA HAJAWA HATA SHEIKH WA MKOA..NA KABLA HAJAWA RAIS.

"Ni kweli huyu alikula nguruwe ila ilikuwa zamani,lakini aliyekula nguruwe juzi ndiyo akamatwe na auawe kwa kuvunja sheria ya kula vilivyokatazwa(Haram)"

Kabla kabla kabla....!

Double standard.
 
Hii ni video ya zamani
Hata kama ya zamani anachoongea sheikh kina ukweli au hakina?

Maana hata katiba tu wanayokataa kuibadilisha CCM ni ya zamani lakini mbona mpaka leo wanaitumia?yaani CCM shida yao moja wanayoyatenda wao tena maovu hawayaoni lakini yakitendwa na watu tofauti na wao tena mema wanawaona wabaya.
 
hiyo CLIP ya kitambo

ila katika UISLAM mwanamke amepewa DARAJA LA KWAZA KWA KILA KITU hata katika PEPO mwanamke yeye ndio amependelewa kuchagua PEPO anayotaka

yaani ipo hivi katika PEPO zipo kwa madaraja kulingana na uliishi vipi
MADARAJA YA PEPO naweza nikatoa mfano wake ni kama HOTERI ZA KIFAHARI zipo NYOTA 3 NYOTA 4 na 5

na pepo zipo hivyohvyo kulingana na ubora wake
PEPO ya juu kabisa ni FIRDAUS na pepo ya chini kabisa kwa ubora inaitwa ADIN kuna mpk inayoitwa DAR ES SALAAM katika mfululizo wa ngazi za pepo ambazo zipo JUMLA kama level 7 kwa Mujibu wa QURAN

sasa mwanamke yeye Siku ya QIYAMA yeye amependelewa kwa kuchagua PEPO yeye mwenyewe anayoipenda
TOFAUTI na mwanaume yeye atakadiriwa na ALLAH kwa matendo yake kwa maana fanya ufanyavyo wema ila katika PEPO ALLAH ndio mchaguzi
lakini kwa MWANAMKE yeye akiwa mwema na ALLAH akamlizia basi uchagua PEPO yeye anayoitaka

nimeeleza mambo ya PEPO ili kuona namna gani UISLAM unavyompa mwanamke DARAJA la kwanza kwa kila kitu kuna mengi sana ukiacha ya pepo na hata hapa DUNIANI pia

lakini jambo moja tu ambalo MWENYENZI MUNGU amelikataa kwa mwanamke nalo si lingine bali UONGOZI mwanamke awezi kuwa KHALIFA
ndipo unakuja huo usemi alonukuliwa SHEKHE walidi kuwa MWANAMKE amepewa DARAJA LA KWANZA kwa kila kitu yaan FIRST CLASS isipokuwa UONGOZI wa juu
na ikitokea kuwa hivyo basi lazima mambo yaharibike
Huo ndio ukweli amenukuu maneno yaliyopo katika MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAM
Maelezo meeeengi.

"mwanamke asipewe cheo kikubwa na kama atapewa juu yake awepo mtu wa kumsimamia na kama cheo kikuubwa basi apewe uwaziri mkuu,ila siyo urais"

Haya amesema kwenye nyumba ya Ibada au kijiweni? Hajachanganya dini na siasa?

Gwajima hivi,Gwajima vile. Proud to be wa mlengwa wa mboga mboga mmekwama sana.

Kwa nini Likija swala la Samia mnachora mstari kwa maelezo mengi yasiyo na msingi?
 
'Waislam wafungiwe kwa kauli hiyo'

Alisikika kada wa kijani akitoa ushauri
Kada najipanga na na tamko
20250530_024905.jpg
 
Hii ni video ya zamani
Pamoja na kwamba ni video ya zamani ila hakawahi kukanusha wala kubadili msimamo wake .
Ila bado hii kauli yake imesimama hata kwa imani ya Islam hilo lipo wazi ushaona kwenye Islam kuna kiongozi yeyote mwanamke kwenye dini yao?
Kwenye Islam hakuna hata shekh msaidizi mwanamke.
Huku kwenye ukristo unakuta kuna makatekista wanawake au wachungaji wanawake wengi.
Huku kuna hadi mama mchungaji naye anakicheo ushasikia kuna mama shekh kwenye Islam? Mke wa shekh wa msikiti hajulikani wala hatambuliki msikitini.
Islam ni dini flani ninayoikubali kwenye baadhi ya hoja zao hususani kwenye hili la kukataa viongozi wanawake ,kuruhusu ndoa zaidi ya moja,kuruhusu Talaka , Marathi ya kiislamu
 
Whatever kikubwa kasema ukweli hata walipofanikiwa kina Angel Merkel, Queen Elizabeth, Margreth Thatcher, bi Indira Ghandi na wengineo dume lilikaa juu hata kama behind scenes, sasa single maza anawezaje?

Na wote hao waliandaliwa kweli kweli. Hakuna masuala ya emotions kwenye kazi na maamuzi. Ukishaleta emotions ukasahau kazi, wajanja watakutumia
 
Back
Top Bottom