Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Hata kama ya zamani anachoongea sheikh kina ukweli au hakina?

Maana hata katiba tu wanayokataa kuibadilisha CCM ni ya zamani lakini mbona mpaka leo wanaitumia?yaani CCM shida yao moja wanayoyatenda wao tena maovu hawayaoni lakini yakitendwa na watu tofauti na wao tena mema wanawaona wabaya.
Ethiopia ilitawaliwa na mwanamke kipindi cha nabii Suleiman.

Sikilizeni hiyo video mpaka mwisho sio kipande
 
Ethiopia ilitawaliwa na mwanamke kipindi cha nabii Suleiman.

Sikilizeni hiyo video mpaka mwisho sio kipande
Ushasema nabii Suleiman, hata Biblia inasema malkia wa Sheba alienda Mashariki kutafuta hekima ya Suleiman (dume)
 
wewe kenge hii yazamani acha ushabiki
Kwahiyo wanaotekwa sasa ni wenye clip mpya?

Screenshot_2025-05-27-13-06-44-1.png
 
HAYO MANENO ALIYOSEMA AMESOMA HADITHI YA MTUME SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM...NA ALIFUNDISHA HILO DARSA PENGINE MUDA SANA KABLA HAJAWA HATA SHEIKH WA MKOA..NA KABLA HAJAWA RAIS.
Cha msingi alichosema ni kweli au si kweli?

Ukweli ni wa milele hauna muda maalum wa kutumika ukweli muda mwingine usitumike, huo ndio unafki hata hivyo vitabu pia vinakataza unafiki.
 
Huyu Sheikh, akiitwa tena atoe haya mawaidha, hatakubali hata kwa fimbo. Kapiga kwenye mshono pale pale. 😁

Hii nchi usikose bando tuu. 😁
 
hiyo CLIP ya kitambo

ila katika UISLAM mwanamke amepewa DARAJA LA KWAZA KWA KILA KITU hata katika PEPO mwanamke yeye ndio amependelewa kuchagua PEPO anayotaka

yaani ipo hivi katika PEPO zipo kwa madaraja kulingana na uliishi vipi
MADARAJA YA PEPO naweza nikatoa mfano wake ni kama HOTERI ZA KIFAHARI zipo NYOTA 3 NYOTA 4 na 5

na pepo zipo hivyohvyo kulingana na ubora wake
PEPO ya juu kabisa ni FIRDAUS na pepo ya chini kabisa kwa ubora inaitwa ADIN kuna mpk inayoitwa DAR ES SALAAM katika mfululizo wa ngazi za pepo ambazo zipo JUMLA kama level 7 kwa Mujibu wa QURAN

sasa mwanamke yeye Siku ya QIYAMA yeye amependelewa kwa kuchagua PEPO yeye mwenyewe anayoipenda
TOFAUTI na mwanaume yeye atakadiriwa na ALLAH kwa matendo yake kwa maana fanya ufanyavyo wema ila katika PEPO ALLAH ndio mchaguzi
lakini kwa MWANAMKE yeye akiwa mwema na ALLAH akamlizia basi uchagua PEPO yeye anayoitaka

nimeeleza mambo ya PEPO ili kuona namna gani UISLAM unavyompa mwanamke DARAJA la kwanza kwa kila kitu kuna mengi sana ukiacha ya pepo na hata hapa DUNIANI pia

lakini jambo moja tu ambalo MWENYENZI MUNGU amelikataa kwa mwanamke nalo si lingine bali UONGOZI mwanamke awezi kuwa KHALIFA
ndipo unakuja huo usemi alonukuliwa SHEKHE walidi kuwa MWANAMKE amepewa DARAJA LA KWANZA kwa kila kitu yaan FIRST CLASS isipokuwa UONGOZI wa juu
na ikitokea kuwa hivyo basi lazima mambo yaharibike
Huo ndio ukweli amenukuu maneno yaliyopo katika MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAM
Kwahiyo wote sasa tunakubaliana mwanamke hawezi kuwa Rais.

Huyu amerithi Urais wa marehemu kumalizia muda uishe sasa amenogewa hataki kutoka.

Huyu Samia si Muislamu? Anaijuwa Qur'an?
 
Whatever kikubwa kasema ukweli hata walipofanikiwa kina Angel Merkel, Queen Elizabeth, Margreth Thatcher, bi Indira Ghandi na wengineo dume lilikaa juu hata kama behind scenes, sasa single maza anawezaje?
Hapa kwetu Mkwele ndio yuko behind the scenes, aliferi miaka kumi yake ataweza nini sasa hivi?

Wamegeuza nchi shamba la Bibi, na hii mikakati yote miovu siyo kazi ya Samia, kuna waliopo nyuma ya haya.
 
Haiseh...!
Watu wanaweza kufukua makaburi:
Leo akiulizwa ni lazima akanushe:
 
Haiseh...!
Watu wanaweza kufukua makaburi:
Leo akiulizwa ni lazima akanushe:
Saa hizi ameshikwa na tumbo la kuhara, usubili kusikia Tcra ikipiga marufuku hiyo video na Sheikh kuita press conference kuikana na kuwasingizia Wakenya mameiedit na AI.
 
Back
Top Bottom