Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Hata wakristo wanaamini hivyo hivyo. Nimewasikia wachungaji wakinukuu Biblia ingawa mimi siamini
 
Hahaha Wata mletea Dr.Mwaka amvuruge nayeye au huyu yeye hasuluhishi ndoa?
 
hiyo CLIP ya kitambo

ila katika UISLAM mwanamke amepewa DARAJA LA KWAZA KWA KILA KITU hata katika PEPO mwanamke yeye ndio amependelewa kuchagua PEPO anayotaka

yaani ipo hivi katika PEPO zipo kwa madaraja kulingana na uliishi vipi
MADARAJA YA PEPO naweza nikatoa mfano wake ni kama HOTERI ZA KIFAHARI zipo NYOTA 3 NYOTA 4 na 5

na pepo zipo hivyohvyo kulingana na ubora wake
PEPO ya juu kabisa ni FIRDAUS na pepo ya chini kabisa kwa ubora inaitwa ADIN kuna mpk inayoitwa DAR ES SALAAM katika mfululizo wa ngazi za pepo ambazo zipo JUMLA kama level 7 kwa Mujibu wa QURAN

sasa mwanamke yeye Siku ya QIYAMA yeye amependelewa kwa kuchagua PEPO yeye mwenyewe anayoipenda
TOFAUTI na mwanaume yeye atakadiriwa na ALLAH kwa matendo yake kwa maana fanya ufanyavyo wema ila katika PEPO ALLAH ndio mchaguzi
lakini kwa MWANAMKE yeye akiwa mwema na ALLAH akamlizia basi uchagua PEPO yeye anayoitaka

nimeeleza mambo ya PEPO ili kuona namna gani UISLAM unavyompa mwanamke DARAJA la kwanza kwa kila kitu kuna mengi sana ukiacha ya pepo na hata hapa DUNIANI pia

lakini jambo moja tu ambalo MWENYENZI MUNGU amelikataa kwa mwanamke nalo si lingine bali UONGOZI mwanamke awezi kuwa KHALIFA
ndipo unakuja huo usemi alonukuliwa SHEKHE walidi kuwa MWANAMKE amepewa DARAJA LA KWANZA kwa kila kitu yaan FIRST CLASS isipokuwa UONGOZI wa juu
na ikitokea kuwa hivyo basi lazima mambo yaharibike
Huo ndio ukweli amenukuu maneno yaliyopo katika MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAM
Kwahiyo ameongopa?

Je mwanamke anaweza kuwa mufti?
Kama sio kwann asiwe.
Naomba nijifunze kwako.
 
Sheikh akichanganya dini na siasa anafungiwa yeye,msikiti au uislamu?

NB:Hata kama ni ya zamani lazima atafuatwafuatwa tu na atajitetea,iliyomuondoa Ndugai pia ilikuwa na mwaka.
 
Huko aliko.huyu sheikh atakana Kila kitu na kusema siyo yeye ni watu wamedit , na ataitisha press kukunusha na kusifia sana utawala wa mama , trust me huyu amejipiga bao nyingi sana usiku na tatizo la tumbo la kuhara limempata
 
Back
Top Bottom