Kumpoteza vp? Wakati ndiyo kapanda ngazi sasa ni sheikh wa mkoa!Bado yupo hai huyu Shekh? au wameshampoteza?
Hii si kweliNanukuu naomba msinishambulie
"...anaweza kuwa kiongozi lakini juu yake awepo mtu"
...lakini juu yake awepo mtu
...juu yake awepo mtu
...awepo mtu
Huyu Samia Zanzibar kamwe hawezi kuwa Rais wangemua kitambo sana. Muulize Asha Maremba yule aliwakashifu CUF aliishia wapi. Mwanamke hafai kuongoza ndio maana hata Mungu alimuumba kama msaidizi wa mume. Watanganyika tunaongozwa na huyu mama ni laana hii. Kikwete nakuombea kila uchwao mauti yakufike.Yuko tu sawa
Kabisaa atakuwa anakatikia huku anapewa maelekezo
Hayo maneno bila shaka itakuwa kabla ya SSH kuwa rahisi , kwa sasa hawezi kusema bali anaweza akayakataa kabisa
Basi huko kwenu kumejaa washirikina.wakati mwingine,
kubabaika sana na maoni au mtazamo huru wa raia mwingine mwenye haki ya kutoa maoni ni ushirikina 🐒
Huyilu si Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam?
Tanzania hatuna haja na hizo porojo gentlemanBasi huko kwenu kumejaa washirikina.

Sheikh wa mkoa wa DSM huyo, hawezi kuongea maneno hayo kipindi hikiKama ameyatoa hayo mawaidha yake siku kadhaa zilizopita, basi ajiandae tu kupotezwa na lile jini Maimuna.
Naomba msaada wa kujua, unasema muislamu hapaswi kuongozwa na asiye muislamu. Je hii ni kwenye mambo yanayohusu uislamu tu au ni kila sehemu? Nikiwa na maana hata kwenye siasa muislamu hapaswi kuongozwa na asiye muislamu?Ndio Mwanamke hafai kuwa kiongozi wa juu wala kuwa kiongozi katika mambo mengi muhimu amabayo Wanaume wanaweza kuyafanya na ndio Sheria Wanaume ni viongozi wa Wanawake.
Ila sasa kwa Sasa watu mfano wa mleta mada wanatumia hio kwa agenda zao za Kisiasa na Hilo ndio jambo baya zaidi , unakuta mtu anapinga Uislamu kwa nguvu kubwa ila akiona Kuna upenyo au jambo ambalo linaendana na matakwa ya nafsi yake basi anashadadia kana kwamba sio adui wa Uislamu . sasa jambo Hilo ni hatari na tuchukue tahadhari katika kuwaunga mkono watu hao yaani tuwakatae .
Ukisema hivyo hata Muislamu kuongozwa na asiyekuwa Muislamu haifai , ila sasa ndio imetokea je tutaingia msituni kumtoa ilhali hatuna nguvu na hakuna maslahi ya kufanya hivyo ? Jibu hapana, kwa hiyo hata kama imetokea tumepata mtihani huo wa kuongozwa na Mwanamke haitakiwi kwenda kinyume na kuanzisha vuguvugu za kumpindua , Fujo, maandamano au kwenda kinyume nae.
Na Allaah anajua zaidi
Oooohooo, kifo cha mende siyo?JK yupo juu yake
Nimebase kwenye Dola kama nchi , malahi pakiwa pa Waislamu basi mtawala anatakiwa awe Muislamu na aongoze Kiislamu , hapo Kuna maslahi mengi katika dini mfano muda wa ibada mnaruhusiwa kufanya ibada hamto ambiwa huu muda wa kazi.Naomba msaada wa kujua, unasema muislamu hapaswi kuongozwa na asiye muislamu. Je hii ni kwenye mambo yanayohusu uislamu tu au ni kila sehemu? Nikiwa na maana hata kwenye siasa muislamu hapaswi kuongozwa na asiye muislamu?
Tafadhali naomba kuelewa hilo