Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Ndio Mwanamke hafai kuwa kiongozi wa juu wala kuwa kiongozi katika mambo mengi muhimu amabayo Wanaume wanaweza kuyafanya na ndio Sheria Wanaume ni viongozi wa Wanawake.

Ila sasa kwa Sasa watu mfano wa mleta mada wanatumia hio kwa agenda zao za Kisiasa na Hilo ndio jambo baya zaidi , unakuta mtu anapinga Uislamu kwa nguvu kubwa ila akiona Kuna upenyo au jambo ambalo linaendana na matakwa ya nafsi yake basi anashadadia kana kwamba sio adui wa Uislamu . sasa jambo Hilo ni hatari na tuchukue tahadhari katika kuwaunga mkono watu hao yaani tuwakatae .

Ukisema hivyo hata Muislamu kuongozwa na asiyekuwa Muislamu haifai , ila sasa ndio imetokea je tutaingia msituni kumtoa ilhali hatuna nguvu na hakuna maslahi ya kufanya hivyo ? Jibu hapana, kwa hiyo hata kama imetokea tumepata mtihani huo wa kuongozwa na Mwanamke haitakiwi kwenda kinyume na kuanzisha vuguvugu za kumpindua , Fujo, maandamano au kwenda kinyume nae.

Na Allaah anajua zaidi
 
Nanukuu naomba msinishambulie
"...anaweza kuwa kiongozi lakini juu yake awepo mtu"
...lakini juu yake awepo mtu
...juu yake awepo mtu
...awepo mtu
Na huyo mtu tayari yupo alipopaswa kuwepo.
 
Saa100 ni Bomu!!!
Tangu kupata uhuru sijawahi kuona serikali inafira watu
 
Nanukuu naomba msinishambulie
"...anaweza kuwa kiongozi lakini juu yake awepo mtu"
...lakini juu yake awepo mtu
...juu yake awepo mtu
...awepo mtu
Juu kama nani?

Wakuu wa ulinzi wa vyombo vya usalama ni wanaume ila wameamua kuburuzwa kijinga
 
Ni mada ndefu, na kuna vipengele vingi na school of thought tofauti. Ila wote waisilamu tunakubaliana mwanamke hawi amri imam ama jaji mkuu ama Mkuu wa majeshi.

Na hilo limekatazwa sio sababu mwanamke hana uwezo ila sababu mwanamke nature yake ni mtu mwenye huruma na wapo emotional sana, anapotoa hukumu mtu akimlilia ni rahisi roho yake kuingia huruma na ku judge kwa emotion badala ya sheria.

Issue ya uongozi ukiangalia wanawake wa Kiisilamu wamekuwa viongozi mbalimbali kuanzia Kina Benazir Bhuto Pakistan, Megawati Indonesia, shekha khalida na Hasina Bangladesh, Halima Singapore, Mariam Mali, Aminata Senegal, Amina Mauritius, Atifete na Vjosa Kosovo etc list ya Wikipedia hapa inaonesha kuna viongozi wanawake Takriban 17 ambao wamewahi ongoza Nchi.

So itategemea na mwenyewe unaangalia opinion za scholar yupi

Mfano wa opinion inayo support

Mfano wa opinion inayokataa
 
Back
Top Bottom