Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Alikuwa anajipendekeza kwa Kikwete wakati ule.Inategmea ni ya lini
Alikuwa anajipendekeza kwa Kikwete wakati ule.Inategmea ni ya lini
TakbiiirView attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakaenda.
Anajutia hii kauli yake anaomba technolojia ifutike Duniani ipoteee.View attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakaenda.
Quran inabadilika ukiwa Shekhe wa Mkoa?HAYO MANENO ALIYOSEMA AMESOMA HADITHI YA MTUME SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM...NA ALIFUNDISHA HILO DARSA PENGINE MUDA SANA KABLA HAJAWA HATA SHEIKH WA MKOA..NA KABLA HAJAWA RAIS.
Nisaidie kuuliza!Quran inabadilika ukiwa Shekhe wa Mkoa?
Sio ststement ya leo hii lakini. Mtakamata wangapi?🤣 🤣 🤣 tusubirie taarifa za usiku wa leo nn kitatokea
Kwani wa Tanzania sio Rais?Kamtaja Rais wa nchi gani? Kasema Rais tu yeye
Chief usifanye kana kwamba hizo bodi hatuzijui mzee.Hakuna kanisa linalo milikiwa na mtu kwa taarifa yako. Kuna kitu kinaitwa bodi ya wadhamini hiyo ndiyo inamiliki kanisa au mskiti. Dhehebu lolote ili lisajiliwe lazima liwasilishe majina ya members wa bodi hiyo maana makanisa na misikiti imesajiliwa kama vyama vya kijamii.
Kijana wa Lumumba baada ya kupewa 7000 na mb 500, umekuja Kasi kuandika chochoteHii sio nchi ya kidini kwa hiyo mwanamke anaweza kuongoza
Wanawake watu wa hisia sana. Mood swings kila wakati. Sometimes wako sober very loving, Ghafla mood inaswing anakuwa na mahasira depression, visasi.
Pengine ndiyo maana huyo bibi yenu sometimes anaongea kama mtu anayejali, mwenye huruma. Ghafla baadae kidogo tunasikia watu wanatekwa, kupotezwa, kuuawa na Havikomi.
Bora JPM baada ya kupotea Ben Saanane na kupigwa risasi Lissu, akabadili tactic, akaanza kununua wapinzani zaidi kuliko kujaribu kuwauwa.
Ila huyo bibi yenu haambiwi hasikii, ni mwendo wa kuteka kuteka, kuteka, kuteka na kudedisha watu yaani haiskii kauli ya askofu wala nani, watu wanauawa mtindo mmoja kama vampire!. Utadhani ana hobby ya kunywa damu za watu
Na hawateki tu, wanahakikisha wanakulawiti. Ushetani wa hali ya juu.
Sheikh yuko sahihi
kafanya upuuzi gani?Kesi ya UHAINI haina expire date mkuu, sheria tulitunga wenyewe, lazima awajibike kwa upuuzi huu.
kah!Saa100 ni Bomu!!!
Tangu kupata uhuru sijawahi kuona serikali inafira watu
Anadunda na waislam wanatamba naeKumpoteza vp? Wakati ndiyo kapanda ngazi sasa ni sheikh wa mkoa!
Wewe huko ufipani wanakupa buku ngapiKijana wa Lumumba baada ya kupewa 7000 na mb 500, umekuja Kasi kuandika chochote