njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Na hawajasoma kweli kazi yao kubwa ni hiiV no no I mean
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...
Hili ni bomu jingine linatengenezwa.
Huko kwenye mimbar panazungimzwa mengi saa ya machafuko hayataangalia huyu kasoma madrasa huyu ana PHD...
Haya tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini....
Huyu mtoto wa mjini kabla hajapewa ubwabwa wake aliupinga udini kwenye masuala ya kisiasa naona na yeye kapewa ubwabwa wakeWakuu
Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto.
Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande wa kushoto.
View attachment 3512543
Mkuu kama tatizo ni hilo linalosababisha nchi yetu iendelee kukosa haki na amani, basi kwa niaba ya Watanzania wote naomba ijulikane kwamba masheikh wamesoma sana kuliko makundi mengine kwenye jamii.V no no I mean
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...
Hili ni bomu jingine linatengenezwa.
Huko kwenye mimbar panazungimzwa mengi saa ya machafuko hayataangalia huyu kasoma madrasa huyu ana PHD...
Haya tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini....
Kobazi wengi vilaza tu wachache sana wanajielewa katika kundi lenu ukimtoa Ponda na baadhi wanaojitambua the rest is Herode's Donkey!V no no I mean
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...
Hili ni bomu jingine linatengenezwa.
Huko kwenye mimbar panazungimzwa mengi saa ya machafuko hayataangalia huyu kasoma madrasa huyu ana PHD...
Haya tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini....
Ndiyo unavyojidanganya na kujipa tamaa.. subiri liwake ndiyo utajua ukweli.. wakisto na Waislamu Katu hawako.kitu kimoja ..Sasa kitima yeye amesema nini? Hiyo PhD yake si ya biblia au amesema PhD ya quantum mechanics. Mnajua mnaUngumza vituo vya kipuuzi.. huyo unayemwita msoni Ninyule anayosema Yesu ni mungu then anasema Yesu no mwananwa mungu..Kwani uongo? Huyo Sheikh kasoma nini ukiondoa ujinga wa dini tu?
Sasa kwa nini asiseme tu Wakristo analialia maneno ya kufichaficha kushoto?
Anaogopa nini?
Na mbona kuna Waislamu wengi sana wanapingana na hawa wanaoitwa ma sheikh ubwabwa?
Na wao nao ni wa upande wa kushoto?
Watanzania wengi, hususan vijana, wamekataa kugawanywa kidini.
Ndiyo maana tunaona memes za Wakrislam.
Dini zenyewe ni ujinga mtupu.
Hawa masheikh hawajaelewa hili tu bado?
Mnamkubali Ponda kwa sababu hii hapa chiniKobazi wengi vilaza tu wachache sana wanajielewa katika kundi lenu ukimtoa Ponda na baadhi wanaojitambua the rest is Herode's Donkey!
Na hawajasoma kweli kazi yao kubwa ni hiiView attachment 3512576
PhD yako ni ya kitu gani?Ndiyo unavyojidanganya na kujipa tamaa.. subiri liwake ndiyo utajua ukweli.. wakisto na Waislamu Katu hawako.kitu kimoja ..Sasa kitima yeye amesema nini? Hiyo PhD yake si ya biblia au amesema PhD ya quantum mechanics. Mnajua mnaUngumza vituo vya kipuuzi.. huyo unayemwita msoni Ninyule anayosema Yesu ni mungu then anasema Yesu no mwananwa mungu..
Dhahabu wapi weweMnamkubali Ponda kwa sababu hii hapa chini
﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu
MANENO YA DHAHABU HAYO….
Kwa hiyo kuteka, kuua, kufira, kuficha maiti na kupora uchaguzi ni mipango ya mkono wa mtume Muhammad? Mkono wa kulia?Wakuu
Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto.
Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande wa kushoto.
View attachment 3512543
Uislamu ndio unafundisha kutetea watu wanaoua raia wasio na hatia?Ndiyo unavyojidanganya na kujipa tamaa.. subiri liwake ndiyo utajua ukweli.. wakisto na Waislamu Katu hawako.kitu kimoja ..Sasa kitima yeye amesema nini? Hiyo PhD yake si ya biblia au amesema PhD ya quantum mechanics. Mnajua mnaUngumza vituo vya kipuuzi.. huyo unayemwita msoni Ninyule anayosema Yesu ni mungu then anasema Yesu no mwananwa mungu..
Ili udharaukike lazima kuna sababu.V no no I mean
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...
Hili ni bomu jingine linatengenezwa.
Huko kwenye mimbar panazungimzwa mengi saa ya machafuko hayataangalia huyu kasoma madrasa huyu ana PHD...
Haya tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini....
Aende kwao asituletee ujinga wake hii nchi haina diniWakuu
Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto.
Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande wa kushoto.
View attachment 3512543
Vyombo vipi mkuu?Mbona hizi story za nchi ilikombolewa na waislamu zimekuwa nyingi?? Mara ikulu ya Dar Es Salaam ilikuwa madrasa kuna nini kinaendelea?? Hivi ingekuwa rais wa kwanza nyerere angekuwa muislamu ingekuwaje .? Kuna kitu nahisi kinaendelea huko kwa waislamu ambacho sio kizuri kabisa ndani ya hii nchi yetu,tuwe macho,vyombo vichukue hatua haraka
Basi kama hamna vyombo hili taifa linaenda kusambaratika kila mtu au kundi litaanza kuishi maisha yake !Vyombo vipi mkuu?
Hatuna vyombo
Upuuzi mtupu