Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Ashukuriwe sheikh Ponda. Mzee wa upako na wenzake wasipotia neno ...

Uzalendo ukitushinda tusilaumiane.
Hao kina wa upako hawana lolote zaidi ya kujipendekeza kila siku
 
M/Mungu akupe seat ya mbele kabisa peponi Shekhe wangu ISSA PONDA . Ule vitamu na mitume wa Allah. ..InshaAllah..
Dah! Sheikh Ponda atabanjua bikra za kutosha peponi; daraja ya juu kabisa inamsubiria wallahi!
 
Hahahahaha kama nawaona masheikh ubwabwa wa Chama Cha Majambaka walivyonuna, ujumbe uwafikie wale wanafiki wanaochanganya ya kaisari na Mungu pamoja Kwa kufeed matumbo Yao na biryani lilitiwa najisi na Wana Lumumba!

Ponda waponde kichwani wazee wa kanzu za kijani!
😁😁😁
 
Kuinua mikono yenye damu za watu juu kwa kutaka baraka hiyo kwa Mungu haiwezekani ila labda kama tunamuomba shetani

Walivyo kama wamepigwa upofu vile:



Hivi inawezekana je kushindwa kutambua hupendeki kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…