Uchaguzi 2020 Sheikh Ponda: Zanzibar itakuwa ni mlango wa kuvunjika amani uchaguzi mkuu 2020

Hii ichukuliwe kama tahadhari na mamlaka husika zizibe ufa huu mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheik Ponda ni mmoja wa viongozi wa Waislamu aliye mahiri. Sio kibaraka wa Sirikali kama wale akina sheikh Alhad Mussa na wenzake!
 
WARUDISHENI MASHEHE KWANZA ACHENI KUJISAHAULISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari ndiyo hiyo.... huyu shehe yupo sahihi kabisa!!
 
Kwa kitendo cha kufanya mahojiano na huyo mchochezi sugu, Star tv wanapaswa kunyangwanywa leseni

TCRA /& Wizara ya Habari na Mawaliano shughulikia hiyo
Huyu mchochezi ana urafiki wa karibu sana na mhaini TUNDU ANTIPAS LISSU naona wote wanatumiwa na mabeberu
 
SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI

kamkamate wewe., kutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…