Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa.
Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel vitendo inavyofanya vya kuua viongozi wa wenzao. Maana sasa wanaishi kama Digidigi katika pori la Simba.
Jionee Video Kamili
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1840746880378048699?t=0zex9-eKSPEL3FRPBv0etg&s=19