Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

Haha mnachekesha sana nyie mabwege hata Nasurlah alikuwa akitoka Jasho sababu yuko sehemu ambayo haina AC kwa ajili ya usalama wake mnataka aende kwenye majumba kama hoteli wanafiki wawambie Israel yuko hapa 😄

Anaishi kama panya buku... Maisha haya hivi Mtume naye alikutana nayo? Mwanaume huishi hivi...unatoka unajibu mapambano. Huishi kama dikdik
 
dogo tulieni kichapo kimeanza mtamkumbuka Nasurlah alikuwa hataki kuwauwa civilian Leo huko Tela Aviv kunawaka moto

View: https://youtu.be/McQVafZ7eCo?si=e0nUaLrfMZ7hsZOB

Afu hio eti jeshi la Israel limeingia Lebanon wameingiza miguu wamepigwa wakakimbia zao. Jeshi la America wanajidai wao wataingia wacha tuwaone kama watabaki 😄

Tuendelee kujifariji namna hii. Nacheka lakini moyoni nalia. Jamaa wanatembeza kipigo. Imagine huyu anayeongea anatokwa jasho hivyo. Halafu mimi nipo Buza huku natetea na kujimwambafy. Israel wanatembeza kipigo hatari.
 
Nimetazama video yote Al Jazeera nimejisikia uchungu na kuwahurumia sana..,alafu unakuta mtu anashangilia na kusema wauwawe! Hivi hata kama ni kweli jamaa ni magaidi, binadam wa kawaida unapata wapi ujasir wa kushangilia mateso ya binadam mwenzio namna hii..,namuomba mola awape mwanga na maharifa waache kushindana na taifa la Israel!
Kweli kabisa Kuna saa huruma inakuja sema shia wabishi sana kusikia kwao hadi wapitie kashikashi kwanza
 
Nimetazama video yote Al Jazeera nimejisikia uchungu na kuwahurumia sana..,alafu unakuta mtu anashangilia na kusema wauwawe! Hivi hata kama ni kweli jamaa ni magaidi, binadam wa kawaida unapata wapi ujasir wa kushangilia mateso ya binadam mwenzio namna hii..,namuomba mola awape mwanga na maharifa waache kushindana na taifa la Israel!
Leo kwa mara ya Kwanza umezungumza point
 
Hawa viongozi ni kama makocha wa simba roho juu juu mda wowote kinakuramba
 
Back
Top Bottom