Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mzee atakuwa na nguvu ya mabikira Kwa kuchoka hukuHataki kuwahishwa kwa bikra 72
Huyu Mzee atakuwa na nguvu ya mabikira Kwa kuchoka huku
Mkuu huwa tuko wote sana frontline kule Ukraine ila hapa sikuungi mkono hao jamaa wamezidi uchokozi imagine Toka Oct 7 wao wanarusha rockets Israel eti wanawaunga mkono Gaza tena wakati wanafanya hayo yote Israel imetumia Kila njia kuwaomba UN,USA waongee na hao Hizbullah waache kurusha makombora lakin njia zote hazijafua dafu unafikiri ungekuwa wewe ndio Kiongozi hapo Israel ungefanyaje?Nimetazama video yote Al Jazeera nimejisikia uchungu na kuwahurumia sana..,alafu unakuta mtu anashangilia na kusema wauwawe! Hivi hata kama ni kweli jamaa ni magaidi, binadam wa kawaida unapata wapi ujasir wa kushangilia mateso ya binadam mwenzio namna hii..,namuomba mola awape mwanga na maharifa waache kushindana na taifa la Israel!
We huogopi??Dah gaidi jasho linamtoka
Wao hujigamba eti kifo-dini ni sunnah" na marty unaenda moja kwa moja kupokea thawabu ya bikra 72 ikiwemo kukabidhiwa mito ya pombe.We huogopi??
Atasema mwenyewe lakini ingekuwa ni mm, Alooh' ningewakung'uta kwa hasira zote zaidi ya anachofanya Mwamba.Mkuu huwa tuko wote sana frontline kule Ukraine ila hapa sikuungi mkono hao jamaa wamezidi uchokozi imagine Toka Oct 7 wao wanarusha rockets Israel eti wanawaunga mkono Gaza tena wakati wanafanya hayo yote Israel imetumia Kila njia kuwaomba UN,USA waongee na hao Hizbullah waache kurusha makombora lakin njia zote hazijafua dafu unafikiri ungekuwa wewe ndio Kiongozi hapo Israel ungefanyaje?
Kweli aisee. Kwa Huo mwendo anaokimbizwa nao sidhani kama ataiona Disemba 2024. Anakata moto muda sio mrefu.Aombe tu vita isitishwe..
Maana sidhani kama anafika December uyu..
Ningekuwa mm..ningeomba na hifadhi USA maana najua siwezi kuuliwa nikiwa ukoKweli aisee. Kwa Huo mwendo anaokimbizwa nao sidhani kama ataiona Disemba 2024. Anakata moto muda sio mrefu.
Kumbuka hata Kristo mwenyewe alisema "Je, kikombe alichonipa Baba nisikinywe? (Yn 18:11).Ushindi ni kumpokea KRISTO siyo kubeba masilaha
KRISTO ndo mwanga wa milele
Waw! Hiyo ndo ingekuwa akili na solution tosha kabisa, yan Unakimbilia nyumbani kwa baba.Ningekuwa mm..ningeomba na hifadhi USA maana najua siwezi kuuliwa nikiwa uko
Duh! Hii ni ngumu kumeza comred., lakini naona badala ya kushangilia mateso Yao tuwaombee hekima ya kutambua kwamba Israel kawazid kila kitu kwa mbali sana, Hivyo waache kutaka ligi na yeyeMkuu huwa tuko wote sana frontline kule Ukraine ila hapa sikuungi mkono hao jamaa wamezidi uchokozi imagine Toka Oct 7 wao wanarusha rockets Israel eti wanawaunga mkono Gaza tena wakati wanafanya hayo yote Israel imetumia Kila njia kuwaomba UN,USA waongee na hao Hizbullah waache kurusha makombora lakin njia zote hazijafua dafu unafikiri ungekuwa wewe ndio Kiongozi hapo Israel ungefanyaje?
dogo tulieni kichapo kimeanza mtamkumbuka Nasurlah alikuwa hataki kuwauwa civilian Leo huko Tela Aviv kunawaka motoTuliwaonya lakini msije mkalialia badae ona sasa wanatafuta mchawi nani na bado......hapo wanatamani urus aseme Jambo........
Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa.
Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel vitendo inavyofanya vya kuua viongozi wa wenzao. Maana sasa wanaishi kama Digidigi katika pori la Simba.
View attachment 3111850
Jionee Video Kamili
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1840746880378048699?t=0zex9-eKSPEL3FRPBv0etg&s=19