Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa.

Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel vitendo inavyofanya vya kuua viongozi wa wenzao. Maana sasa wanaishi kama Digidigi katika pori la Simba.



Jionee Video Kamili


View: https://x.com/DrEliDavid/status/1840746880378048699?t=0zex9-eKSPEL3FRPBv0etg&s=19
 
Hivi hapo Allah wake anaweza kumuona kweli 😀😀😀😀
 
kimsboy
Ritz
The Boss
Malaria 2
Webabu

Et al
 
Nimetazama video yote Al Jazeera nimejisikia uchungu na kuwahurumia sana..,alafu unakuta mtu anashangilia na kusema wauwawe! Hivi hata kama ni kweli jamaa ni magaidi, binadam wa kawaida unapata wapi ujasir wa kushangilia mateso ya binadam mwenzio namna hii..,namuomba mola awape mwanga na maharifa waache kushindana na taifa la Israel!
 
Wanavyo ua wenzao wao wanajisikiaje..? Muuaji unamwoneaje huruma. Kill the killer b4 the killer kill u
 
Haha mnachekesha sana nyie mabwege hata Nasurlah alikuwa akitoka Jasho sababu yuko sehemu ambayo haina AC kwa ajili ya usalama wake mnataka aende kwenye majumba kama hoteli wanafiki wawambie Israel yuko hapa 😄
 
FaizaFoxy vipi hapa ustaadhat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…