Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

Tuliwaonya lakini msije mkalialia badae ona sasa wanatafuta mchawi nani na bado......hapo wanatamani urus aseme Jambo........
 
Mkuu huwa tuko wote sana frontline kule Ukraine ila hapa sikuungi mkono hao jamaa wamezidi uchokozi imagine Toka Oct 7 wao wanarusha rockets Israel eti wanawaunga mkono Gaza tena wakati wanafanya hayo yote Israel imetumia Kila njia kuwaomba UN,USA waongee na hao Hizbullah waache kurusha makombora lakin njia zote hazijafua dafu unafikiri ungekuwa wewe ndio Kiongozi hapo Israel ungefanyaje?
 
Aombe tu vita isitishwe..
Maana sidhani kama anafika December uyu..
 
Atasema mwenyewe lakini ingekuwa ni mm, Alooh' ningewakung'uta kwa hasira zote zaidi ya anachofanya Mwamba.
 
Ushindi ni kumpokea KRISTO siyo kubeba masilaha

KRISTO ndo mwanga wa milele
Kumbuka hata Kristo mwenyewe alisema "Je, kikombe alichonipa Baba nisikinywe? (Yn 18:11).
Hao magaidi wameyataka wenyewe - hawana budi ku-succumb kwenye hicho kinachoendelea.
 
Ningekuwa mm..ningeomba na hifadhi USA maana najua siwezi kuuliwa nikiwa uko
Waw! Hiyo ndo ingekuwa akili na solution tosha kabisa, yan Unakimbilia nyumbani kwa baba.
 
Duh! Hii ni ngumu kumeza comred., lakini naona badala ya kushangilia mateso Yao tuwaombee hekima ya kutambua kwamba Israel kawazid kila kitu kwa mbali sana, Hivyo waache kutaka ligi na yeye
 
Tuliwaonya lakini msije mkalialia badae ona sasa wanatafuta mchawi nani na bado......hapo wanatamani urus aseme Jambo........
dogo tulieni kichapo kimeanza mtamkumbuka Nasurlah alikuwa hataki kuwauwa civilian Leo huko Tela Aviv kunawaka moto


View: https://youtu.be/McQVafZ7eCo?si=e0nUaLrfMZ7hsZOB
Afu hio eti jeshi la Israel limeingia Lebanon wameingiza miguu wamepigwa wakakimbia zao. Jeshi la America wanajidai wao wataingia wacha tuwaone kama watabaki 😄
 
Askari wa Ardhini wameingia Lebanon, tutajua ni jasho la uoga au kitu kingine
 
Kwa kweli hawa binadamu wenzetu ni watu wa kujikweza sana hata kama hawana uwezo huo. Mtu anakuchapa mpaka chumbani kwako halafu unadanganya watu kuwa una uwezo wa kumpiga. Haya wale mliohamia buza njooni mpinge
 
Hii inaitwa tumbo joto,mpaka unajutia kwanini nilianzisha huu mtiti maana huyu jamaa hana dalili ya kurudi nyuma,hatua itakayofuatia sasa hivi watakuwa wanajilipua au kujinyonga kama ilivyomtokea Sauli kwenye Biblia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…